Couple Bora ya Mwaka 2013!!!

Couple Bora ya Mwaka 2013!!!

Ngoja nianze mchakato boss.... mambo yakijipa nitakuomba uwe mwenyekiti wa kamati ya maandalizi

mimi mimi au? nitakulinda vyema sana mkuu
 
ivi kama mtu mume ana wake wengi nayo inaitwa couple?

wale ma single wa kike karibuni utawani

we na urembo wako bado upo single?
hebu achana na haya mambo ya utawa, utaulizwa na mungu eti
huo uzuri wako umeutimiaje?
 
Ladymasa umeona ubabe wako umetukosesha ubora!! Mi natangaza new search in new year.
 
Last edited by a moderator:
Tunapiga kisusio tunashushia na mbege huku aisee...
We mwaka mpya umeulia wap bosi...

mi nipo huku Ilongero huku Singida mkuu, ila kwa kutokea ni Kigoma!!!
 
Mkuu hapa naona nitapata ubora wa manundu tu.

tongoza vizuri tu ndugu yangu kwani huyo Ladymassa anakupenda ila naona hujamtia chombezo nzuri na la kutosha....
 
Last edited by a moderator:
tongoza vizuri tu ndugu yangu kwani huyo Ladymassa anakupenda ila naona hujamtia chombezo nzuri na la kutosha....

Tatizo ananikwepa sana bana.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu usijali... Mi nikimpata Kaunga tutafanya mpango we na AshaDii mfomu pea

ahaaa..naona unataka kuniweka kwenye neema, nikimpata! moyoni nitafurahi sana!!
mweleze kabisa kuwa nitampenda kwa moyo wangu wote.
Kila anachotaka nitampatia.
Hata akitaka kwenda nchi za nje nitampeleka kwa pesa zangu.
 
Back
Top Bottom