ni wewe au nafananisha?ngoja nrudi kule
Unajua kuna jamaa alikuwa amenipa kazi ya kumuunganishia Kaunga... sasa ndo nilikuwa namuuliza keshawahiwa?... we ni wangu tu amu, usijali...
mmmh!!!
Unajua kuna jamaa alikuwa amenipa kazi ya kumuunganishia Kaunga... sasa ndo nilikuwa namuuliza keshawahiwa?... we ni wangu tu amu, usijali...
amu huyu ndo shemeji eeeh!! Ebu nambie nipige vigelegele huku
asante kwa kuweka mambo sawa...
Wacha mi nikwambie tu... mi ndiye...
Jamani RIP Dena Amsi [emoji24] [emoji24] [emoji24]R.I.P Dena Amsi.