Couple Bora ya Mwaka 2013!!!


umesahau hata yangu pia ulitangaza kuwa ni couple bora ya mwaka 2013 ujue..LOL!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
yashatufikia, yamegeuka kuwa mto, jiandae kumezwa na bahari

halafu Mapi haya mambo hayakuhusu!!
Hebu niambie, uko powa wew????? Heri ya mwaka mpya!
 
Last edited by a moderator:
Milima na mabonde mwatakiwa kuifanya siri ndani ya ndoa, sasa mnaanika hadharani, disqualification tayari ya kuwa kapo bora, lol

hivi unaweza kuweka bonde la mto Rufiji na mlima Kilimanjaro ndani ya nyumba?????
 
Last edited by a moderator:
umesahau hata yangu pia ulitangaza kuwa ni couple bora ya mwaka 2013 ujue..LOL!!!!!!!!!

Ya kwako tia maji tia maji hiyo nilikataa kuitangaza, tangu siku ile nimemuona Erickb52 amekushika kiunoni afu wamchekea tu.
 
Last edited by a moderator:
hivi unaweza kuweka bonde la mto Rufiji na mlima Kilimanjaro ndani ya nyumba?????

Ha ha ha haaaa haya weee, inakuwaje kichuguu mnakiacha hadi kiwe mlima kilimanjaro au bonde la mto rufiji?
 
ivi kama mtu mume ana wake wengi nayo inaitwa couple?

wale ma single wa kike karibuni utawani
 

Thanks a lot Baba V, my husband watu8 hii ni habari njema kwa familia yetu,
 
Last edited by a moderator:

Nifanyie mpango na mimi mwanao....ama we utaki kuona mkweo na wajukuu kabla israeli hajaitamani roho yako?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…