uran JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 10,392 Reaction score 15,948 Jan 1, 2014 Thread starter #61 'Valentina' said: Nifanyie mpango na mimi mwanao....ama we utaki kuona mkweo na wajukuu kabla israeli hajaitamani roho yako? Click to expand... au nikuoe mimi?
'Valentina' said: Nifanyie mpango na mimi mwanao....ama we utaki kuona mkweo na wajukuu kabla israeli hajaitamani roho yako? Click to expand... au nikuoe mimi?
uran JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 10,392 Reaction score 15,948 Jan 1, 2014 Thread starter #62 Tuko said: Ngoja nianze mchakato boss.... mambo yakijipa nitakuomba uwe mwenyekiti wa kamati ya maandalizi Click to expand... mimi mimi au? nitakulinda vyema sana mkuu
Tuko said: Ngoja nianze mchakato boss.... mambo yakijipa nitakuomba uwe mwenyekiti wa kamati ya maandalizi Click to expand... mimi mimi au? nitakulinda vyema sana mkuu
uran JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 10,392 Reaction score 15,948 Jan 1, 2014 Thread starter #63 measkron said: Thanks a lot Baba V, my husband watu8 hii ni habari njema kwa familia yetu, Click to expand... nawaonea wivu eti...
measkron said: Thanks a lot Baba V, my husband watu8 hii ni habari njema kwa familia yetu, Click to expand... nawaonea wivu eti...
Tuko JF-Expert Member Joined Jul 29, 2010 Posts 11,180 Reaction score 7,346 Jan 1, 2014 #64 uran said: mimi mimi au? nitakulinda vyema sana mkuu Click to expand... Kwani wewe ni me au ke mheshimiwa?
uran said: mimi mimi au? nitakulinda vyema sana mkuu Click to expand... Kwani wewe ni me au ke mheshimiwa?
uran JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 10,392 Reaction score 15,948 Jan 1, 2014 Thread starter #65 mwallu said: ivi kama mtu mume ana wake wengi nayo inaitwa couple? wale ma single wa kike karibuni utawani Click to expand... we na urembo wako bado upo single? hebu achana na haya mambo ya utawa, utaulizwa na mungu eti huo uzuri wako umeutimiaje?
mwallu said: ivi kama mtu mume ana wake wengi nayo inaitwa couple? wale ma single wa kike karibuni utawani Click to expand... we na urembo wako bado upo single? hebu achana na haya mambo ya utawa, utaulizwa na mungu eti huo uzuri wako umeutimiaje?
uran JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 10,392 Reaction score 15,948 Jan 1, 2014 Thread starter #66 Tuko said: Kwani wewe ni me au ke mheshimiwa? Click to expand... my avatar speaks alot, kwani wewe unaionaje?
Tuko said: Kwani wewe ni me au ke mheshimiwa? Click to expand... my avatar speaks alot, kwani wewe unaionaje?
Tuko JF-Expert Member Joined Jul 29, 2010 Posts 11,180 Reaction score 7,346 Jan 1, 2014 #67 uran said: my avatar speaks alot, kwani wewe unaionaje? Click to expand... Kwenye Kamchina kangu haka avatar ni ndogo kama punje ya haradali... ngumu kuziona
uran said: my avatar speaks alot, kwani wewe unaionaje? Click to expand... Kwenye Kamchina kangu haka avatar ni ndogo kama punje ya haradali... ngumu kuziona
M.E.M.A JF-Expert Member Joined Jul 27, 2013 Posts 1,373 Reaction score 472 Jan 1, 2014 #68 Ladymasa umeona ubabe wako umetukosesha ubora!! Mi natangaza new search in new year. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
uran JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 10,392 Reaction score 15,948 Jan 1, 2014 Thread starter #69 Tuko said: Kwenye Kamchina kangu haka avatar ni ndogo kama punje ya haradali... ngumu kuziona Click to expand... pole sana..wasalimie huko rombo!!!
Tuko said: Kwenye Kamchina kangu haka avatar ni ndogo kama punje ya haradali... ngumu kuziona Click to expand... pole sana..wasalimie huko rombo!!!
uran JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 10,392 Reaction score 15,948 Jan 1, 2014 Thread starter #70 M.E.M.A said: Ladymasa umeona ubabe wako umetukosesha ubora!! Mi natangaza new search in new year. Click to expand... ahaaaa!!! komaa mkaka
M.E.M.A said: Ladymasa umeona ubabe wako umetukosesha ubora!! Mi natangaza new search in new year. Click to expand... ahaaaa!!! komaa mkaka
M.E.M.A JF-Expert Member Joined Jul 27, 2013 Posts 1,373 Reaction score 472 Jan 1, 2014 #71 uran said: ahaaaa!!! komaa mkaka Click to expand... Mkuu hapa naona nitapata ubora wa manundu tu.
Tuko JF-Expert Member Joined Jul 29, 2010 Posts 11,180 Reaction score 7,346 Jan 1, 2014 #72 uran said: pole sana..wasalimie huko rombo!!! Click to expand... Tunapiga kisusio tunashushia na mbege huku aisee... We mwaka mpya umeulia wap bosi...
uran said: pole sana..wasalimie huko rombo!!! Click to expand... Tunapiga kisusio tunashushia na mbege huku aisee... We mwaka mpya umeulia wap bosi...
uran JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 10,392 Reaction score 15,948 Jan 1, 2014 Thread starter #73 Tuko said: Kwani wewe ni me au ke mheshimiwa? Click to expand... hapo naona nimejitendea haki mkubwa!!!
Tuko said: Kwani wewe ni me au ke mheshimiwa? Click to expand... hapo naona nimejitendea haki mkubwa!!!
uran JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 10,392 Reaction score 15,948 Jan 1, 2014 Thread starter #74 Tuko said: Tunapiga kisusio tunashushia na mbege huku aisee... We mwaka mpya umeulia wap bosi... Click to expand... mi nipo huku Ilongero huku Singida mkuu, ila kwa kutokea ni Kigoma!!!
Tuko said: Tunapiga kisusio tunashushia na mbege huku aisee... We mwaka mpya umeulia wap bosi... Click to expand... mi nipo huku Ilongero huku Singida mkuu, ila kwa kutokea ni Kigoma!!!
Tuko JF-Expert Member Joined Jul 29, 2010 Posts 11,180 Reaction score 7,346 Jan 1, 2014 #75 uran said: hapo naona nimejitendea haki mkubwa!!! Click to expand... Mkuu usijali... Mi nikimpata Kaunga tutafanya mpango we na AshaDii mfomu pea Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
uran said: hapo naona nimejitendea haki mkubwa!!! Click to expand... Mkuu usijali... Mi nikimpata Kaunga tutafanya mpango we na AshaDii mfomu pea
uran JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 10,392 Reaction score 15,948 Jan 1, 2014 Thread starter #76 M.E.M.A said: Mkuu hapa naona nitapata ubora wa manundu tu. Click to expand... tongoza vizuri tu ndugu yangu kwani huyo Ladymassa anakupenda ila naona hujamtia chombezo nzuri na la kutosha.... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
M.E.M.A said: Mkuu hapa naona nitapata ubora wa manundu tu. Click to expand... tongoza vizuri tu ndugu yangu kwani huyo Ladymassa anakupenda ila naona hujamtia chombezo nzuri na la kutosha....
Tuko JF-Expert Member Joined Jul 29, 2010 Posts 11,180 Reaction score 7,346 Jan 1, 2014 #77 uran said: mi nipo huku Ilongero huku Singida mkuu, ila kwa kutokea ni Kigoma!!! Click to expand... Leka tutigite moja hapo... Pamoja mkuu
uran said: mi nipo huku Ilongero huku Singida mkuu, ila kwa kutokea ni Kigoma!!! Click to expand... Leka tutigite moja hapo... Pamoja mkuu
M.E.M.A JF-Expert Member Joined Jul 27, 2013 Posts 1,373 Reaction score 472 Jan 1, 2014 #78 uran said: tongoza vizuri tu ndugu yangu kwani huyo Ladymassa anakupenda ila naona hujamtia chombezo nzuri na la kutosha.... Click to expand... Tatizo ananikwepa sana bana. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
uran said: tongoza vizuri tu ndugu yangu kwani huyo Ladymassa anakupenda ila naona hujamtia chombezo nzuri na la kutosha.... Click to expand... Tatizo ananikwepa sana bana.
uran JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 10,392 Reaction score 15,948 Jan 1, 2014 Thread starter #79 Tuko said: Mkuu usijali... Mi nikimpata Kaunga tutafanya mpango we na AshaDii mfomu pea Click to expand... ahaaa..naona unataka kuniweka kwenye neema, nikimpata! moyoni nitafurahi sana!! mweleze kabisa kuwa nitampenda kwa moyo wangu wote. Kila anachotaka nitampatia. Hata akitaka kwenda nchi za nje nitampeleka kwa pesa zangu.
Tuko said: Mkuu usijali... Mi nikimpata Kaunga tutafanya mpango we na AshaDii mfomu pea Click to expand... ahaaa..naona unataka kuniweka kwenye neema, nikimpata! moyoni nitafurahi sana!! mweleze kabisa kuwa nitampenda kwa moyo wangu wote. Kila anachotaka nitampatia. Hata akitaka kwenda nchi za nje nitampeleka kwa pesa zangu.
uran JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 10,392 Reaction score 15,948 Jan 1, 2014 Thread starter #80 M.E.M.A said: Tatizo ananikwepa sana bana. Click to expand... mtajeti tuu!! akiingia kwenye kumi na nane mbane hapo hapo!!!
M.E.M.A said: Tatizo ananikwepa sana bana. Click to expand... mtajeti tuu!! akiingia kwenye kumi na nane mbane hapo hapo!!!