Couple Bora ya Mwaka 2013!!!

Couple Bora ya Mwaka 2013!!!

Oooh..How sweet!

Erickb52 & Chocs
Mwaaaaaaaaaah......Love You So Much my @chocs
ccccccccccccccccc.jpg

cccccc.jpg
 
Hivi kuna couple bora zaidi ya watu8 na my sweet pie measkron...

Kwanza tunamshukuru Mungu katujaalia watoto, na sasa wajukuu...

Hakuna magomvi kati yetu, maana neno upendo limetawala...

Tumeoza wanetu wote isipokuwa mmoja tu ambaye anamalizia mambo yake binafsi kwanza...

Nina mengi ya kuandika lakini keyboard yangu imeisha wino....
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Sio mashindano lakini hebu tucheki ni couple gani inayodeserve kuwa
Couple of the year 2013
Ndani ya Chit chat??

Je, ni Arushaone & Lady doctor?
Erickb52 & Chocs?
Filipo & marejesho?
kiwatengu & shansarie?

...............kuna nyingine ambazo binafsi sizijui.
ni ipi ilikuwa nzuri zaidi ndani ya Chit chata kwa mwaka 2013?

Narudia tena si mashindano!!!

Nikiwa kama Mwenyekiti mwenye dhamana ya mahusiano na ndoa hapa chit chat nililitangaza hili na nikalitia MUHURI kuwa couple bora kwa Mwaka 2013 ni ya watu8 na measkron. Hakuna swali. Wengine boresheni viuno, ndimi na nyoyo zenu labda mtaingia kwenye kinyang'anyiro cha 2014.
 
Last edited by a moderator:
Hili busu nimelichukua kama AGENDA kwa ajili ya kikao kijacho.

Ha ha ha ha haaa Baba V acha hizo, what is so special in it hadi liwe miongoni mwa agenda kwenyekiti?

By the way how is your day one of 2014
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha haaa Baba V acha hizo, what is so special in it hadi liwe miongoni mwa agenda kwenyekiti?

By the way how is your day one of 2014

Day 1 ya 2014 is wonderful kwa kweli.. Mwaka huu sitaki msongo wa mawazo if anything sounds awkward naifanya genda. Kila weekend tutakuwa na vikao vya reconciliation..
 
Last edited by a moderator:
Day 1 ya 2014 is wonderful kwa kweli.. Mwaka huu sitaki msongo wa mawazo if anything sounds awkward naifanya genda. Kila weekend tutakuwa na vikao vya reconciliation..

Mhhhhhhh mtanialika kwenye hicho kikao kama mmiliki wa hiyo busuuu!
 
Asante mwenyekiti kwa kuliona hilo na kulitolea ufafanuzi...hatimaye wino wa keyboard yangu umerudi kwa ghalfa baada tu ya kuisoma useful post kutoka kwa mwenyekiti wetu...

Back
Top Bottom