Couple hizi zitavunjika

Mimi huwa siangaliii nani na nani waliachana ili kupunguza uzito wa kuachana
Yani niseme Bill Gates kaachana na mke wake sembuse fulani na fulani...hapana
Sahihi kabisa,nje ya utajiri Bill Gates nae ni binadamu na ana sifa ya ubinadamu just like an ordinary people.
 
Best couple iliyakaa mda mrefu Sana ni Jayz na Beyonce.
David Beckham na Mkewe
 
Ila zuchu kakalia kuti kavu jamani. Maana kutoka na boss ni very risk, mapenzi yakiisha na kazi inakuwa ngumu Sana kufanya pamoja. Drama za hapa na pale zitamcost zuchu.
Yule jamaa hawezi oa kulingana na Mkataba wa umaarufu alioingia nao.
Akioa tu ataporomoka Kila kitu.
Anatumia nyota za wanawake kushine Kila mahusiano yake yapo calculated spiritual.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…