Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Siwajui....ngoja niwatafute😁😁😁😁Ao mbona wana nafuu kuliko blueface na chrisean rock
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siwajui....ngoja niwatafute😁😁😁😁Ao mbona wana nafuu kuliko blueface na chrisean rock
hiyo ni kijicho kwa wapendanao.Mimi naomba tu kufahamishwa na mtoa mada 'carea' ni nini,
Sema wee dear, nikiseka mie nna nongwaa.Vanessa hakuacha career yake sababu ya mahusiano labda ulimuelewa vibaya boss
Tena anajitapa ni rijali huko mtaani kwake.Nitasikitika sana nikijua aliyeandika huu uzi ni mwanamume
Mie nawapenda Riri na bwaggx wake, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vipi kuhusu Offset na Cardio B [emoji16][emoji16]wasiachane nawapenda vichaa kabisa..
Ila Kuna maisha baada ya kuachana
Wee ni muongoo sanaa,Usijipe moyo mbona ipo wazi kabisa kaakacha muziki kaamua kutulia
Carea ni carea fullstop 😂Mimi naomba tu kufahamishwa na mtoa mada 'carea' ni nini,
Hajaacha mziki vee, kapumzika na soon atakua studio.Hata asingekuwa na rotimi angeacha..
Ma couple ya Nguvu😍Mie nawapenda Riri na bwaggx wake, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vanessa na butterchosse.
Hata hapa Bongo iko.Best couple iliyakaa mda mrefu Sana ni Jayz na Beyonce.
David Beckham na Mkewe
Kumbe? Au alikua anapitia kiji 'phase' fulani tu kiasi cha kusema vile?Hajaacha mziki vee, kapumzika na soon atakua studio.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dada utaniudhi, nampenda yule jamaa balaaa, yaan swaggz zake mie ananirushaa stimu.Ma couple ya Nguvu[emoji7]
Yesu Awatunze tu.....Silipendi kile kibwana chake Riri kipo utasema wale wahamiaji haramu wa kisomali[emoji16]
Yess mbna week ilopita alikua live insta, aliuilizwa kuhusu [emoji445] akajibu soon anaingia [emoji2424] kutoa [emoji457].Kumbe? Au alikua anapitia kiji 'phase' fulani tu kiasi cha kusema vile?
Kwa hiyo huyo Msomali wako mdomo kama anaendesha fiat unampenda Nini?😁[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dada utaniudhi, nampenda yule jamaa balaaa, yaan swaggz zake mie ananirushaa stimu.
Breezy alikua anampotezea time Riri, japo Riri kwa Brieez alikufa kuoza. Woiiii
Wee ni muongoo sanaa,
🤣🤣🤣🤣Kimetumia Nguvu za jadi?Kile kijaamaa sio buree, kama sio kishirikina sijui,