πππWewe yako iko wapi? Tutambulishe basi π π
Habari nzuri dear.......tumepoteana sana humu ndani......mzima lakini...?...Preta habari ya siku nyingi kipenzi
manengelo aka wangari mathai demu wa kila mtu au chawote mbona hujamtaja mkuu? mjasiriamali feki
ulikuwa unaenda kupigwa pakubwa sanaaAlafu nilitaka kumuulizia huyu manzi, alikuwa na mitikasi mingi ya biashara ya dhahabu huko migodini kumbe mjasiriamali fake [emoji3][emoji3][emoji3] aisee
Nimefanya nini jamanii?
Za myaka mamy??? I hope uko vyedii dearr wasalimie familia!Nimefanya nini jamanii?
Umepotea sana jamviniNimefanya nini jamanii?
Asante my dearβ¦. Salam zimefika tuko kulea familiaZa myaka mamy??? I hope uko vyedii dearr wasalimie familia!
Leo nipo Mkuu⦠It has been long for realUmepotea sana jamvini
Wasalimie sana mapachaa bila shaka wameshakuaa wakubwaaaπAsante my dearβ¦. Salam zimefika tuko kulea familia
Wasalimie sana mapachaa bila shaka wameshakuaa wakubwaaa[emoji7]
Aww Nakupenda pia Call me Solo ππnakupenda sana modo wangu Heaven on Earth
Wamekua wakubwa namshukuru Mungu.
Hahaaa halafu huyu nani huyu hii ID inani confuse ujue maana kama unajua habari ya twins wangu wewe ni old member mwenzangu
Duh hapo ninge guess mpake kesho kutwa nisingejua ni weweβ¦. Mimi tu ndio nimekomaa na ID yangu..π€£π€£π€£π€£π€£
mie Mahondaw kipenziii!!
Kitrambooo sana watu wengi wamepotea na wengine kubadili id mara wengine kubadili username yaniii acha tu!
Njema sana mamy hakii tumefurahi sana kukuona tena jf !! Umenirudisha enzi hizoooo Jf !Duh hapo ninge guess mpake kesho kutwa nisingejua ni weweβ¦. Mimi tu ndio nimekomaa na ID yangu..
It feels good to be connected again my dear⦠habari za siku nyingi??
Ilikuwa matata sanaNifah na The bold