Couple maarufu kuwahi kutokea hapa JamiiForums

Alafu nilitaka kumuulizia huyu manzi, alikuwa na mitikasi mingi ya biashara ya dhahabu huko migodini kumbe mjasiriamali fake [emoji3][emoji3][emoji3] aisee
manengelo aka wangari mathai demu wa kila mtu au chawote mbona hujamtaja mkuu? mjasiriamali feki
 
Alafu nilitaka kumuulizia huyu manzi, alikuwa na mitikasi mingi ya biashara ya dhahabu huko migodini kumbe mjasiriamali fake [emoji3][emoji3][emoji3] aisee
ulikuwa unaenda kupigwa pakubwa sanaa
migodini anawauzia wahun utamu ndo umuulize hiko?
 
Wamekua wakubwa namshukuru Mungu.

Hahaaa halafu huyu nani huyu hii ID inani confuse ujue maana kama unajua habari ya twins wangu wewe ni old member mwenzangu

🤣🤣🤣🤣🤣
Mahondaw kipenziii!!
Kitrambooo sana watu wengi wamepotea na wengine kubadili id mara wengine kubadili username yaniii acha tu!
 
🤣🤣🤣🤣🤣
mie Mahondaw kipenziii!!
Kitrambooo sana watu wengi wamepotea na wengine kubadili id mara wengine kubadili username yaniii acha tu!
Duh hapo ninge guess mpake kesho kutwa nisingejua ni wewe…. Mimi tu ndio nimekomaa na ID yangu..

It feels good to be connected again my dear… habari za siku nyingi??
 
Njema sana mamy hakii tumefurahi sana kukuona tena jf !! Umenirudisha enzi hizoooo Jf !
I'm so pleased to see you again HOE!
 
Back
Top Bottom