Couple maarufu kuwahi kutokea hapa JamiiForums

Enzi zile Jf watu tunaheshimiana na upendo wa kweli ulikuepo kabla ya hawa watoto wa.com hawajaanza kumiliki sim za kupangusa.
Nimemkumbuka Mtambuzi kwenye safari ya Muhimbili...
Nime mkumbuka gfsonwin pia mwalimu kama mwalimu.. mtambuzi alikuwa nae na mastory jamaa.. kipindi kile kilikuwa kitamu sanaa hapo zamani mambo mengi yalikuwa shwari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…