Couple ya Manara na ZaiyLissa ni couple yenye mvuto zaidi hapa nchini na ili wadumu hawatakiwi Kuonana

Sasa ww umekubali kuolewa na bado unataka ufanye unavotaka ww? Nina uhakika bado haujaolewa na bado ni mtoto mdogo ww.

Yaan nioe alafu avae matambala ambayo me sitaki!! Nioe alafu uende sehem ambayo staki uende!!

Hakuna mwanaume wa hivyo binti na Kama yupo basi hatimizi jukumu la kuwa mwanaume.
 
Couple bora unapima kwa picha za kimahaba wapigzo na rangi ya melanin walizo nazo na si tabia?
Wazazi wangu wamekaa kwenye ndoa mwaka wa 60 huu siyo couple bora, ila hao takataka kwenye media wanao achana na kucheat kila siku ndio bora?
Hao wanao nyonya milk za watoto ndio couple bora?
 
White ndio kakutuma....
 
Hivi Eve hata kama ni wewe utaweza kweli kuishi na Manara kwa mdomo ule mchafu?
Mimi sijawahi kuwaelewa hao wanawake zake.
Mm nimewahi date na albino mwanamke aisee ile Hali yake ilinishinda kbsaa kbsaa duh mwili unateleza Kama nyoka achilia mbali mdomo wake nilishindwa kbsa kumla mate ila papuchi niliichakata inakuwa nyekunduuu[emoji1787][emoji1787]
 
Huyu jamaa kuna stage aliruka kwenye ukuaji wake.
Mtu mzima anahangaika na vidada vya mjini.
 
Watu wanaishi kwa kua public characters of some sort.

Na funny thing is,cizitens reward these fools

I see alot of actors with no movie roles!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…