Couple ya Tunda na Casto Dickson ndio Couple mbaya zaidi hapa nchini

Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu ,nimevumilia weeeeeee lakini yamenifika haaaaaaaaaaapa acha niseme ukweli tu kama mbwai iwe mbwai tu.

Kiukweli hakuna couple isiyovutia hapa bongo kama couple ya Tunda na Casto Dickson, kiufupi hawapendezani wala hawaendani hata kidogo .

Kwa hadhi na uzuri wa Tunda hakupaswa kudate na jamaa hata kidogo ,hawaendani hata kidogo ,ndio maana Tunda humkuti akimpost post jamaa hovyo wala kujinadi kwamba wanadate ila huyo Casto ndio kutwa nzima anampost post hovyo Tunda na kujisifia sifia kwa watu sijui kabila gani huyu jamaa, maana inaonesha hakuwahi kupata demu mkali zaidi ya Tunda.

Ila nina uhakika hilo penzi lao litaisha mwaka huu tu ,sidhani kama mwakani hilo penzi lao litaendelea kuwepo abadani asilani labda jamaa ampige kizizi cha kumfunga Tunda asitamani mwanaume mwengine.

View attachment 847205
Nilichogundua kwa kusoma bandiko lako ni kwamba una wivu na uhusiano wao unakuuma
Inakuwaje ufuatiliaje mahusiano ya mwenzako kiasi hicho na umuombee mabaya?
Unahisi akiachana naye tunda atakuja kwako?
 
Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu ,nimevumilia weeeeeee lakini yamenifika haaaaaaaaaaapa acha niseme ukweli tu kama mbwai iwe mbwai tu.

Kiukweli hakuna couple isiyovutia hapa bongo kama couple ya Tunda na Casto Dickson, kiufupi hawapendezani wala hawaendani hata kidogo .

Kwa hadhi na uzuri wa Tunda hakupaswa kudate na jamaa hata kidogo ,hawaendani hata kidogo ,ndio maana Tunda humkuti akimpost post jamaa hovyo wala kujinadi kwamba wanadate ila huyo Casto ndio kutwa nzima anampost post hovyo Tunda na kujisifia sifia kwa watu sijui kabila gani huyu jamaa, maana inaonesha hakuwahi kupata demu mkali zaidi ya Tunda.

Ila nina uhakika hilo penzi lao litaisha mwaka huu tu ,sidhani kama mwakani hilo penzi lao litaendelea kuwepo abadani asilani labda jamaa ampige kizizi cha kumfunga Tunda asitamani mwanaume mwengine.

View attachment 847205
Pumbaa
 
Back
Top Bottom