Couple ya Tunda na Casto Dickson ndio Couple mbaya zaidi hapa nchini

Couple ya Tunda na Casto Dickson ndio Couple mbaya zaidi hapa nchini

Sio kwamba Casto hajali bali uwezo wa kumuacha mtoto mzuri kama Tunda hana labda aachwe yeye, kwanza hainiingii akilini kabisa kama ni wapenzi kweli kweli kuna kitu kimejificha hapa ngoja nipeleleze mpaka nijue.
Endelea kuwafuatilia labda siku wakiachana huyo Casto atakutongoza wewe labda wewe na yeye mnaendana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kwamba Casto hajali bali uwezo wa kumuacha mtoto mzuri kama Tunda hana labda aachwe yeye, kwanza hainiingii akilini kabisa kama ni wapenzi kweli kweli kuna kitu kimejificha hapa ngoja nipeleleze mpaka nijue.
cha ajabu kipi kwa castor kutoka na tunda... huyo tunda ametoka hadi na young D ambaye hata pakulala hana anahifadhiwa na maproducer akizinguana na huyu anaenda kuhifadhiwa na prod huyu...

sasa si afadhari castor ana kazi yake 😂
 
Unaweza kuwa mzuri ila ukishakuwa na tumbo kubwa uzuri wote unapotea ,mwambie tunda apunguze tumbo hilo.
 
Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu ,nimevumilia weeeeeee lakini yamenifika haaaaaaaaaaapa acha niseme ukweli tu kama mbwai iwe mbwai tu.

Kiukweli hakuna couple isiyovutia hapa bongo kama couple ya Tunda na Casto Dickson, kiufupi hawapendezani wala hawaendani hata kidogo .

Kwa hadhi na uzuri wa Tunda hakupaswa kudate na jamaa hata kidogo ,hawaendani hata kidogo ,ndio maana Tunda humkuti akimpost post jamaa hovyo wala kujinadi kwamba wanadate ila huyo Casto ndio kutwa nzima anampost post hovyo Tunda na kujisifia sifia kwa watu sijui kabila gani huyu jamaa, maana inaonesha hakuwahi kupata demu mkali zaidi ya Tunda.

Ila nina uhakika hilo penzi lao litaisha mwaka huu tu ,sidhani kama mwakani hilo penzi lao litaendelea kuwepo abadani asilani labda jamaa ampige kizizi cha kumfunga Tunda asitamani mwanaume mwengine.


View attachment 847205
Comments reserved
 
Back
Top Bottom