Couple ya Tunda na Casto Dickson ndio Couple mbaya zaidi hapa nchini

Couple ya Tunda na Casto Dickson ndio Couple mbaya zaidi hapa nchini

Sio kwamba Casto hajali bali uwezo wa kumuacha mtoto mzuri kama Tunda hana labda aachwe yeye, kwanza hainiingii akilini kabisa kama ni wapenzi kweli kweli kuna kitu kimejificha hapa ngoja nipeleleze mpaka nijue.
Ndo ukubali hivyoo Casto shemeji yako. Unadhani ile tattoo kaichora bure bure kama hawana kitu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata couple ya Jiwe na mkuu wa wilaya mbona haiendani, lakini sisi sio washika paja kwahiyo acha wamalizane wenyewe
 
Kumwagana ama kutomwagana kwangu haina athari yoyote wala hayanihusu. Ila tu nakereka na baadhi ya picha za huyo Tunda za 3/4 uchi wakati akijua ana mtu wake. Na sijui huyo Casto anajisikiaje kuziona mtandaoni. Au naye anasapoti maana naona km mapenzi yao ni kama yale ya Ki O-Level vile.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitaka kusema maneno kama haya ila sikuwa najua namna ya kuyaweka nadhani hicho ndio kinachoharibu muonekano wa hiyo kapo ila mengine ni yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unaendana na huyo uliye naye?
IMG_20180824_133221.jpg
 
Back
Top Bottom