Couple ya Tunda na Casto Dickson ndio Couple mbaya zaidi hapa nchini

Couple ya Tunda na Casto Dickson ndio Couple mbaya zaidi hapa nchini

hahahaha mkuu Hence mtanashati nakukubali sana....unachangamsha sana hili jukwaa
 
Mimi siwezi kusema mwanamme fulani hastahili kuwa na mwanamke fulani.

Kiumeni ukisema hivyo, unawaachia watu wenye mawazo mabaya waweze kutafsiri kwamba ushawahi kubong'oleshwa na huyo mwanamme ukamjua kiundani, na ndiyo maana unasema hafai kuwa na mwanamke fulani.
 
Wanawake watu wa ajabu sana... Kama huyo Tunda akitulia anaweza kupata mwanaume wa maana, mwenye pesa kama sisi na kuishi maisha ya raha milele...

Ni kama Jokate alivyomganda Ali Kiba. Mtoto mzuri ila anaenda kwa watu wa ovyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom