Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,088
- 6,384
My Vin Diesel ina maana hujajua breakfast yangu ni nini!!!!
wewe je...au umesahau?
Niwache muke ya muzungu!!!!!!!
nitajie jina la mkeo fasta nimpe taarifa za unayofanya hum ndani!!!!
Hii 'breakfast' unataka itatufanya tusifanye kazi leo ujue......
He he he..tutaunga na tim yangu ndo itakuwa kamilifu loh....weee weeeee singo!!!!!!!
ana mke na watoto ka tim ya mpira
Vinajichanganya vyenyewe ila babe figganigga hana mpinzani
measkron mkane na huyo sasa.....litafute mwenyewe...
chama amemfanya Mamndenyi mpaka akabadili na itikadi siku hizi Mamndenyi ni magamba full Bishanga anachanganywa na wake zake wanatoka nje kila siku huduma zimekuwa hafifu
wapi panauzwa tindikali bei chee....
cc watu8
nitake radhi!!, angalia spelling ! ukikosea spelling na jinsia inabadilika!
weee weeeee singo!!!!!!!
ana mke na watoto ka tim ya mpira
watu8 atasikia shost Heaven on earth!!