Couples Verification!

Couples Verification!




Mr Rocky ndio maana nimeshangaa na najua chama kafolu hasa......
Bishanga uzee unamwingia vibaya atii
chama amemfanya Mamndenyi mpaka akabadili na itikadi siku hizi Mamndenyi ni magamba full Bishanga anachanganywa na wake zake wanatoka nje kila siku huduma zimekuwa hafifu
Halafu namuona mzee wa penda penda Vin Diesel amefolu kwako wakati hajui grafani11 anahudumia hapo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom