Couples Verification!

hahaa Lady doctor utaacha azimie kwa puresha.......

kwani ile hosteli ya wakeze haijakamilika tu!!!!!!!

Kaona hosteli haitoshi kaamua kutafuta mabehewa ya treni...yapo india yanatengenezwa maana ya mwakyembe madogo yanaingiza watu 100 kila moja wakati yeye anataka ya watu 30000 na yawe 50

cc Lady doctor
 
Last edited by a moderator:
KOKUTONA asante kwa kutulinda siku ya jana wewe na kiwatengu

tunashukuru tuko salama salimini!!!!!!!

Ha ha ha haaa, yaani hapa nataka nilale..maana usiku wa leo tuko lindoni tena.

Afu kiwatengu kazi yake ilikuwa kusinzia tu, kila saa mabegani kwangu. Aondlewe kwenye kazi ya ulinzi. Tutaibiwa.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha haaa, yaani hapa nataka nilale..maana usiku wa leo tuko lindoni tena.

Afu kiwatengu kazi yake ilikuwa kusinzia tu, kila saa mabegani kwangu. Aondlewe kwenye kazi ya ulinzi. Tutaibiwa.
KOKUTONA I hope aliishia mabegani tu hakwenda sehem nyingine......

Leo tutakubadilishia mtu bana
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…