Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,088
- 6,384
hapo ndio nnapokupendea...huwa hunikatishi tamaa
Unatakiwa kugangamala baby.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo ndio nnapokupendea...huwa hunikatishi tamaa
Aisee itabidi mwenyekiti anipange upya!
Vin Diesel ananipa cheo ambacho sina bana mwenyekiti wa penda penda ni Erickb52 akisaidiwa na Vin Diesel
hahaa Lady doctor utaacha azimie kwa puresha.......
kwani ile hosteli ya wakeze haijakamilika tu!!!!!!!
kizuri chajiuza
kibaya ..................(fili ini ze blanks)
Swaiba....unaandikia gazeti gani?
Unatakiwa kugangamala baby.....
wote hamueleweki mnajifanya kuuzunguka mbuyu tu...wakati mlengo ni mmoja
mhhhh sasa hapa unatafuta ugomvi Vin Diesel na ngumi zinakuhusu
Hahaha...muuzaji ndio anajaribu ubora wa bidhaa anauza... Heaven on earth atapendekeza
babe I will do it for you and for me.........
unajifanya una mikoba ya Shehe Yahaya eenh???
sasa muuzaji akijaribu kwa kila mteja viungo si vitaisha vyote...!!! hapo na biashara itakufa
sasa muuzaji akijaribu kwa kila mteja viungo si vitaisha vyote...!!! hapo na biashara itakufa
uje basi tupashe kiporo love.....