Couples Verification!



Na wewe ukiondoka sie stress zinaisha....hehe
 

my king my mahabuba wangu jamani........Nakupenda sana ujue
 
Bishanga sijui hata nikujibu kivipi ili walau unielewe;
Iko hivi chama ninampenda kwa kuwa anajua ninachokitaka.
 
Last edited by a moderator:
ndio maana nakupenda Vin.......

Babe niko hapa nje jamani........

Mie nipo tayari uwanjani....team pinzani haijafika

Na wasiohusika wanatakiwa kutupisha......

wanga wengi wanachungulia mpaka chumba cha baba na mama KOKUTONA njoo this way tuongee achana na Vin Diesel na Heaven on earth na grafani11 watoane macho

Ndio maana tunapendana love
Blue G haya yote umeyataka wewe, sijui unaniambia nini safari hii?. Haihitaji maelezo hata kwa macho unaona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…