Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,088
- 6,384
Mr Rocky kunawakati mwingine huwa unasema maneneo ya ukweli lakini kwa njia ya utani. Nimeamini sasa.
Vin Diesel unaitwa huku...
Umeanza lini tabia mbaya? Leo kesi hii ataiamua Mr Rocky tu. Acha mimi niondoke jukwaa hili nielekee kule kunakoniondolea stress.
Na wewe ukiondoka sie stress zinaisha....hehe