Hebu njoo chumbani KOKUTONA uniambie siri yako ya moyoni
mke wangu,mkoloni mweusi kabana kidogo....nitarudi baadae....stay safe...
Naomba nikukimbie kidogo....nitarudi baadae
Hizi mbeleko za neti hazikawii kutoboka. Nimeamini maneno ya Rocky ngoja nipite zangu.my king my mahabuba wangu jamani........Nakupenda sana ujue
Jambo sana daddito.... Shikamoo daddy angu!!!!!
ingekuwa Uvinza usingemtuma......
Blue G haya yote umeyataka wewe, sijui unaniambia nini safari hii?. Haihitaji maelezo hata kwa macho unaona.
Huko ningekutuma wewe umpelekee
Waweja sana...ndio maana nakupenda Vin.......
wewe mie kuimba kwa kutumia Mic kwenyewe siwezi
Hizi mbeleko za neti hazikawii kutoboka. Nimeamini maneno ya Rocky ngoja nipite zangu.
Leo sijisikii kunywa supu nina hamu ya kunywa damu tu.
grafani11 nilikuwa simaanishiWaweja sana...
unaonekana tu....itakuwa kuna vitu vya ziada unatoa ndio maana wan'ang'aniwa na kila kidume
Nilipokwambia kwamba kuna mtu mwingine huwa anakuja nyumbani ukanibishia, umeona mwenyewe leo.Mdogo wangu Heaven on earth si nilikutuma umsalimie pacha mdogo Passion Lady?