Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Baeleze kaka...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bishanga kuwa makini ndugu yangu,na hiyo reception yako ilivyopinda sasa sijui ikiongezewa na tindikali itakuwaje.Watu wengine hawana hata huruma hawawezi kuona kama wewe ulishamwagiwa tindikali naturally!
Husijali bwana Bishanga mwanaume anasifiwa kwa kuingia bank sio sura!Wao wamwage lakini hela zako zinazowavutia wadada utabaki nazo!
Babe niko hapa nje jamani........
umejuaje kama mi na Vin Diesel ni wahamiaji haramu.......
na ntaenda kukushtaki unauza vitu haramu mimi
ndio maana nakupenda Vin.......
Mr Rocky kunawakati mwingine huwa unasema maneneo ya ukweli lakini kwa njia ya utani. Nimeamini sasa.Hizo Heaven on earth ni zetu wenyewe hamruhusiwi kufika huko na hata nilipoweka kidumu huruhusiwi kukishika maana utamwagikiwa na acid yake
Elewa kuwa Heaven on earth ana aleji na wazungu na ashachoka na ngozi nyeusi hii
au dozi yako ya kichovu ndo maana anakimbia unamletea shombo tuu
:shock::shock::shock::shock::shock::shock::shock::shock: wacha mimi nikae kimya maana hapa nikiongeza neno nitaharibu zaidi
Mhhh huku unampeti peti Vin Diesel na huku unamwandalia grafani11 supu sikuelewi hivi unajua wote hao ni ndugu zangu kasoro tunatofautiana tabia
Vin Diesel unaitwa huku...Babe niko hapa nje jamani........
umejuaje kama mi na Vin Diesel ni wahamiaji haramu.......
na ntaenda kukushtaki unauza vitu haramu mimi
Umeanza lini tabia mbaya? Leo kesi hii ataiamua Mr Rocky tu. Acha mimi niondoke jukwaa hili nielekee kule kunakoniondolea stress.my wii usikasirike unajua ni jinsi gani kaka yako anavyonijali
Haya basi nimesusa!
Mr Rocky ya ngoswe muachie ngoswe ........
kwani vidumu ,small house,nyumba kubwa mnaruhusiwa kumiliki nyie tu.......
Lazima wamezidiana!
Naona wenyewe wamejitokea ghafla.
Naomba nakala moja kila siku kwa bili...Nitakuwa nafanya malipo kabla.
Confirm niandae cheki
jaman my sis ntakuja usijali my dada
ahsante wangu usiache kunikumbuka kila mara
Ndo maana mekwambia njoo huku..tuongee pekeyetu.
watoto wangu wote wa kike...wa kiume ni mmoja ni ni Padre
Usije fungulia mbwa ukashindwa kumrudisha.
ndio maana nakupenda Vin.......
Yes madam tunaruhusiwa sisi tuu wewe kaa nyumbani lea watoto na kupija