Couples Verification!

Couples Verification!

Bishanga kuwa makini ndugu yangu,na hiyo reception yako ilivyopinda sasa sijui ikiongezewa na tindikali itakuwaje.Watu wengine hawana hata huruma hawawezi kuona kama wewe ulishamwagiwa tindikali naturally!
Husijali bwana Bishanga mwanaume anasifiwa kwa kuingia bank sio sura!Wao wamwage lakini hela zako zinazowavutia wadada utabaki nazo!

kwahiyo unasema sura ya Bishanga imemwagiwa tindikali long time kitambooo....so haogopi vitisho hivi
 
Last edited by a moderator:
Bora umeingilia kati mke wangu....tumekubaliana kununua kwa watu8 na Bishanga ndio tutamjaribu kama acid inafanya kazi....

ndio maana nakupenda Vin.......

Hizo Heaven on earth ni zetu wenyewe hamruhusiwi kufika huko na hata nilipoweka kidumu huruhusiwi kukishika maana utamwagikiwa na acid yake


Elewa kuwa Heaven on earth ana aleji na wazungu na ashachoka na ngozi nyeusi hii
au dozi yako ya kichovu ndo maana anakimbia unamletea shombo tuu



:shock::shock::shock::shock::shock::shock::shock::shock: wacha mimi nikae kimya maana hapa nikiongeza neno nitaharibu zaidi



Mhhh huku unampeti peti Vin Diesel na huku unamwandalia grafani11 supu sikuelewi hivi unajua wote hao ni ndugu zangu kasoro tunatofautiana tabia
Mr Rocky kunawakati mwingine huwa unasema maneneo ya ukweli lakini kwa njia ya utani. Nimeamini sasa.

halafu wewe Arabela wewe.........

Babe niko hapa nje jamani........
Vin Diesel unaitwa huku...

umejuaje kama mi na Vin Diesel ni wahamiaji haramu.......

na ntaenda kukushtaki unauza vitu haramu mimi

my wii usikasirike unajua ni jinsi gani kaka yako anavyonijali
Umeanza lini tabia mbaya? Leo kesi hii ataiamua Mr Rocky tu. Acha mimi niondoke jukwaa hili nielekee kule kunakoniondolea stress.
 
Back
Top Bottom