rafikimkweli
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 349
- 121
wakuu mimi hapa mgeni ila natamani nisiwe singo kwa muda mrefu, nahitaji mlioko na ndoa umu, mnipe mbinu za medani na kimazingira kuopoa mzigo wa maana..nawakilisha hoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapajua nyumbani mke wangu....nitakuwa nakusubiri
kuronga nae kote huko na home kumbe hajafika? Pole yake!
karibu sana my dia Vin Diesel.umeleta zawadi gani
wewe ndio wanifanyia ubaya ujue....subiri zamu yako
Arabela Arabela aaaaaa oooooohkaribu sana my dia Vin Diesel.umeleta zawadi gani
Erickb52 hebu verify couple ya C6 na charminglady mara moja
Huna lolote umehongwa
Aminaaaaaaaaa mama Kiwowowowooooo