Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Mtawa huyoHutaki mwenza unaishje wewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtawa huyoHutaki mwenza unaishje wewe?
Kwa kweli siyo siri hii figure naitamani,naizimia na ninaitaka![emoji116][emoji13][emoji13][emoji13]Nilitaka kumwambia mtoa mada awasiliane na wewe umpe list....ila natabiri couple mya ni wewe na Miss Natafuta
Kitu kipo ukhuty[emoji23]Aaaa hamn kitu
Kweli ten hamn kituKitu kipo ukhuty[emoji23]
Siyo sampuli yangu hiyoZipo na sampuli nyingine pia lakini wewe umependa ya Daby yani hivo ndo ilivyo
umekubalije na wewe kuchukuliwa? hebu taratibu bhana yajengeHiyo couple ilishavunjika
hahahahahahah sitaki kuvunja mbavu zangu mieAsprin na Shunie hz couple nazipendaga sana... yaan wanapendana balaa..!!!!
bila kusahau The End.. na miss chagga hawa ndo moto wa kuotea mbali...!!!!
Hivi bado hamjaachana na STUNTER ili mimi nichukue hatamu?🙂🙂🙂hahahahahahah sitaki kuvunja mbavu zangu mie
Basi kama inaikana huezi kua mpweke mana sampuli tulivu na wapole ni wengi kuliko sampuli ugonjwa wa moyoSiyo sampuli yangu hiyo
Alivyo mkakamavu mpaka kasema ya moyoni hafu ana achia urojo urujo hivi?umekubalije na wewe kuchukuliwa? hebu taratibu bhana yajenge
toka hapaHivi bado hamjaachana na STUNTER ili mimi nichukue hatamu?🙂🙂🙂
nitamuita chemba niachie kazi hiyo mkuuAlivyo mkakamavu mpaka kasema ya moyoni hafu ana achia urojo urujo hivi?
Hem muweke sawa
kwahiyo unaona ukimtaja hapa Saint Ivuga ataanzisha vurugu au!!!!mimi lory bhana sio IST nichepuke, ninae wangu wa moyo
kwani Saint Ivuga vurugu zitamtoka wapi? Saint ni shem wangu hana shida wewe sema una uchokoz nae na mimi simooooookwahiyo unaona ukimtaja hapa Saint Ivuga ataanzisha vurugu au!!!!
Sawa mkuunitamuita chemba niachie kazi hiyo mkuu
ndo maana niki'commet kwako ananijia juu... kumbe ni shemu wako.. acha nitulie zangu nitatekwa bure!!!!kwani Saint Ivuga vurugu zitamtoka wapi? Saint ni shem wangu hana shida wewe sema una uchokoz nae na mimi simoooooo
hahahahahahah kutekwa hutekwi ila cha moto utakipata, bora ujinyamazie na kupita tundo maana niki'commet kwako ananijia juu... kumbe ni shemu wako.. acha nitulie zangu nitatekwa bure!!!!
Au nimpindue kwa nguvu dear?[emoji1][emoji1][emoji1]toka hapa