Umeona watu walivyo wachokozi?, soon bomu litalipuliwa[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
Hatari sana
Japo una kitambi bado nakupenda dear,tuibuke na couple yetu please!
Nimeona aiseeh, alafu itaonekana wewe ndio sababu [emoji26][emoji26]Umeona watu walivyo wachokozi?, soon bomu litalipuliwa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] wataje basiiNimeshayajua yale mamtu mawili
Mwanamke ndo anafos kingi. Kwakua mwanaume ndo anabidi akusifie sifie na kukutaja taja. Ila demu akikusifia sana ujue ana njaa
1:njaa ya dushe
2:njaa ya hela/tumbo kunguruma/msosi
3:njaa ya ndoa
Sio kwamba anakupenda(ni kwamba imemlazimu tu)
Unataka kuwa kama mdada wa couple iliyotajwa hapo juu???!....... Unataka tuanzishiwe uzi hapa my dear??!!I see yuuu
Upo?Kama mimi yani kama huruma hivi
Daah.usinikumbushe machungu.nilitaka niende kwenye shoo yake leo.nimeangusha hela hata hamu sina.nipo tu kitandani.[emoji1] [emoji1] [emoji1]Saida karoli na kaisikii (akatambala nkutwale)
Sitaki umbea. Am sure hata wewe umewajua tayari[emoji1] [emoji1] [emoji1] wataje basii
[emoji15]Makomeo & Janeth
Lakin si kuna siku mnachart [emoji23]