Couples zisizoendana

Couples zisizoendana

Nimeshayajua yale mamtu mawili

Mwanamke ndo anafos kingi. Kwakua mwanaume ndo anabidi akusifie sifie na kukutaja taja. Ila demu akikusifia sana ujue ana njaa
1:njaa ya dushe
2:njaa ya hela/tumbo kunguruma/msosi
3:njaa ya ndoa

Sio kwamba anakupenda(ni kwamba imemlazimu tu)
[emoji1] [emoji1] [emoji1] wataje basii
 
Saida karoli na kaisikii (akatambala nkutwale)
Daah.usinikumbushe machungu.nilitaka niende kwenye shoo yake leo.nimeangusha hela hata hamu sina.nipo tu kitandani.[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mnacheza na wanaINTELIJENSIA eeeeh..... Mtapata mnachokitaka....Mi sipo
 
Mleta mada pita kuleeeee😀😀😀😀😀
19762074_902706406534322_3204895508124401664_n.jpg

Mwenzio Rayvanny kaamua aangalie pembeni tu. Vumilia tu ndugu.
 
Back
Top Bottom