Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
We nae nani atamani mwanaume kimbaumbau ,usione watu wamenyamaza tunakula kimya kimyaa tena wa maqna haswaaYani kuna mademu humu wanataman yule msichana aachike ili wachukue wao nafasi... Mademu acheni kumuonea wivu mwenzenu
Kama mnakerwa na hiyo couple vaen miwan ya mbao alaa..
Naona jiwe limekupata... RelaxWe nae nani atamani mwanaume kimbaumbau ,usione watu wamenyamaza tunakula kimya kimyaa tena wa maqna haswaa
😀😀😀
Mi naona mwanamke ndo anatumia nguvu sana ha ha ha ha nakuona nakuonaaaaa
YapNitaitwa mchochezi/hater/$nitch nikiwataja..Hahahaha
Riyama ally&leo
Pole sana mydear, naona umeongea kwa huzuni sana.usijali watu wanatania tuuDada Neybright , wala sio mimi naona kuna watu wana couples zao wanataka kuzishusha humu, na ndio zitafuruga hii thread na kuna watu watakula "BANI"
Naomba huu uzi ufungwe tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Makomeo & Janeth
Unataka kuwa kama mdada wa couple iliyotajwa hapo juu???!....... Unataka tuanzishiwe uzi hapa my dear??!!
Hii roho mbaya umeianza liniUlimbukeni si kidogo ha ha ha mi nasubiri wamwagane team roho mbaya.....
Kapo ni nyingi za humu sio mahondaw tu bana nanujue hajatajwa mtu ila watu tushajuaWana MMU jiongezeni kidogo kabla ya kuchangia...
Mada inaongelea couples zisizoendana na kigezo ameweka mfano wa ( MWONEKANO), inakuwaje mnaanza kuhisi hisi wana JF wengine ambao kiuhalisia hata mionekano yao halisi hamuijui?
Ni nani anayemjua huyo mahondaw / smart911 na kipi hasa kinachowaaminisha kuwa hawaendani? mtajuaje kama wote ni jinsia moja au ni mtu mmoja mwenye utambulisho zaidi ya 1?
Na pia wala hawana huo umaarufu mliowavika..
Mmmh. Punguza mishale mummy!Hawasemi ila upepo tu utabadilika na thread za malalamiko zitaanza, yani wanaume jamani wanaume sio watu ha ha utadhani wakati anadate nae alikua anadate na jiwe
Wana MMU jiongezeni kidogo kabla ya kuchangia...