Couples zisizoendana

Couples zisizoendana

Dada Neybright , wala sio mimi naona kuna watu wana couples zao wanataka kuzishusha humu, na ndio zitafuruga hii thread na kuna watu watakula "BANI"
Naomba huu uzi ufungwe tu
Pole sana mydear, naona umeongea kwa huzuni sana.usijali watu wanatania tuu
 
Wana MMU jiongezeni kidogo kabla ya kuchangia...

Mada inaongelea couples zisizoendana na kigezo ameweka mfano wa ( MWONEKANO), inakuwaje mnaanza kuhisi hisi wana JF wengine ambao kiuhalisia hata mionekano yao halisi hamuijui?

Ni nani anayemjua huyo mahondaw / smart911 na kipi hasa kinachowaaminisha kuwa hawaendani? mtajuaje kama wote ni jinsia moja au ni mtu mmoja mwenye utambulisho zaidi ya 1?

Na pia wala hawana huo umaarufu mliowavika..
 
Kapo ni nyingi za humu sio mahondaw tu bana nanujue hajatajwa mtu ila watu tushajua
 
Hawasemi ila upepo tu utabadilika na thread za malalamiko zitaanza, yani wanaume jamani wanaume sio watu ha ha utadhani wakati anadate nae alikua anadate na jiwe
Mmmh. Punguza mishale mummy!
 
Wana MMU jiongezeni kidogo kabla ya kuchangia...

Mada inaongelea couples zisizoendana na kigezo ameweka mfano wa ( MWONEKANO), inakuwaje mnaanza kuhisi hisi wana JF wengine ambao kiuhalisia hata mionekano yao halisi hamuijui?

Ni nani anayemjua huyo mahondaw / smart911 na kipi hasa kinachowaaminisha kuwa hawaendani? mtajuaje kama wote ni jinsia moja au ni mtu mmoja mwenye utambulisho zaidi ya 1?

Na pia wala hawana huo umaarufu mliowavika..

Unahakika gani hawawajui?
 
Back
Top Bottom