Kijana kijana
JF-Expert Member
- Mar 11, 2018
- 2,546
- 2,621
Hiyo kauli ya ajira sio shida futa kabisa.
Tembelea nyuzi zingine utaona watu wanavolaumu swala la uchache wa ajira hadi secta ya afya.
Mkuu huu ni wakati wa milima na mabonde,hali hii haiwezi kudumu.tuchukulie miaka 7 ilobaki hali iwe hivi hivi basi huu ndo wakati nzuri wa kusoma mkuu,hatutaishi hivi milele mkuu.
Mimi natageti miaka hata 8 huko mbele,sio kwamba asome then kesho apate ajira,hapana mkuu.
Akipata cheti chake mkuu kitamlinda au vipi mkuu?
Mkuu mbona sina kosa hapo?
Ndo mana wadau wanachangia uzi huu.
Vinginevyo basi iwe mtu ambaye mchoyo mchoyo asiyetaka kuchangia vitu na wenzie.
Kama post tu hivi jee chakula si kushikana mkono mkuu?
Hii ni kawaida hapa JF mkuu.[/QUOTI
I think after six or five comment
unafikili kuna kitu alipata
only you ndo umepata ulichokitaka sio muhusika
Now you know or no
kuna ongezeko kubwa snaa la watu na vijana wanaosomea kada ya afya ilihali uwezekano wa kuajiriwa ni mdogo sanaaa...Pako doro kivipi mkuu fafanua mkuu
Daah kumbeee.kuna ongezeko kubwa snaa la watu na vijana wanaosomea kada ya afya ilihali uwezekano wa kuajiriwa ni mdogo sanaaa...
ushauri wangu mlete dogo kwenye uwanja wa wahandisi
Nakumbuka kwetu baba alikuwa anatabia ya kuchukua ndugu zake waliopo vijijini hususani watoto wa Dada zake au wadogo zake wakike na kuwa leta home kuwasomesha...
%kubwa ya watu wa vijijin hawajasoma au wameishia la 7 so
baba alikuwa anawachukua na kuwa peleka veta
wakitoka veta na vyeti vyao vya ufundi walikuwa wanaweza fanya kaz miaka m3 au m2 then ana wa force kurudi tena vyuo hususani hizi college za ufundi I.e DIT na Maji basi walikuwa wakienda pale watasoma tena diploma afu mzee alikuwa nawaforce waende tena kusoma degree
kwa hali hii ilipelekea ukoo Wetu na binamu zangu wengi wa kike na kiume kuwa ma engineer na maafisa wakubwa wa jeshi ..
formula hii ndiyo mpaka Leo tuseme ndani ya ukoo Wetu inatumika wachache sanaa wamefika kwa mfumo RASMI wa O level,A level then degree but wengi sanaa
walianza na mfumo wa
Veta
College
university
mwakani broo wangu anahitumu masters lakini kwa chimbuko la veta
kama una swali la mfumo huu ask
Mkuu coment yangu ni namba 10 ndo ambayo nimeanza kukomenti.
Coment zilizopita yeye alipewa majibUK na akawashukuru wadau.
Au ulitaka apewe majibu yafike comenti ngapi then na mimi ningeleta shida yangu mkuu?
Hivi ukujua kama ulipaswa kuanzisha wako
au njoo kwenye normal life
Hunafikili ten comment zitamsaidia nn mtu aliyepata four ya 29 au 30
No had feeling cause its JFSiwezi kuanzisha uzi wakati huu upo na unahusiana na jambo langu.
Kwani mbona umemaindi wewe mkuu?
sijajua malengo na plan zenu ni zipiDaah kumbeee.
Kwa hyo laboratory bora asiende mkuu
Siwezi kuanzisha uzi wakati huu upo na unahusiana na jambo langu.
Kwani mbona umemaindi wewe mkuu?