BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
Kazi inayoweza kufanywa na mtu wa hrm inaweza kufanywa na taaluma nyingine mfano sociology,industrial relations,social work,public administration,BBA-GENERAL.Pitia matangazo ya ajira (ukirelate na alichosema record management) kusanya then angalia mtu anaehitajika sifa zake. Kumbuka HRM ina uwanja mpana sana ukilinganisha hizo ulizotaja, kila sehemu unaingia. Kwa utawala/Uongozi HRM ndo iko vizuri.
Pitia matangazo ya kazi uone kama watakuambia tunahitaji Community Development au Social work... Kama yapo ni percentages ndogo sana boss.