Course gani nzuri katika Utumishi wa Umma upande wa ajira?

Course gani nzuri katika Utumishi wa Umma upande wa ajira?

Hapo kuna Act 4.. na bdo kuna zingine.. hainipi Taswira kuwa naweza kuwa MWANASHERIA.. ingawa nazijua sheria/nimesoma sheria.. hasa za Kazi.

Hizo Act kwa HR ndio mwongozo wake humo.. na vingine vingi tu.. so usijione umesoma Definition ya what is Recruitment.. ukajiona tyr ni HR.
IMG_20200906_223831_962.jpg
 
Hapo kuna Act 4.. na bdo kuna zingine.. hainipi Taswira kuwa naweza kuwa MWANASHERIA.. ingawa nazijua sheria/nimesoma sheria.. hasa za Kazi.

Hizo Act kwa HR ndio mwongozo wake humo.. na vingine vingi tu.. so usijione umesoma Definition ya what is Recruitment.. ukajiona tyr ni HR.View attachment 1561139
Sasa mbona sijaona case laws?, sijaonq amendment ya sheria hizo ulizoziweka? , sijaona Public service regulations, standing orders,?
 
Back
Top Bottom