BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
Kazi inayoweza kufanywa na mtu wa hrm inaweza kufanywa na taaluma nyingine mfano sociology,industrial relations,social work,public administration,BBA-GENERAL.Pitia matangazo ya ajira (ukirelate na alichosema record management) kusanya then angalia mtu anaehitajika sifa zake. Kumbuka HRM ina uwanja mpana sana ukilinganisha hizo ulizotaja, kila sehemu unaingia. Kwa utawala/Uongozi HRM ndo iko vizuri.
Pitia matangazo ya kazi uone kama watakuambia tunahitaji Community Development au Social work... Kama yapo ni percentages ndogo sana boss.
Usikariri.. na kwanza Huijui HRM vzr nyamazaKazi inayoweza kufanywa na mtu wa hrm inaweza kufanywa na taaluma nyingine mfano sociology,industrial relations,social work,public administration,BBA-GENERAL.
Unachotakiwa ww kufanya ni kupinga kwamba mtu mwenye degree hizi Industrial relation,sociology, public administration na Business administration hawezi kufanya kazi za HRM,Usikariri.. na kwanza Huijui HRM vzr nyamaza
Nisamehe kama Nimekukwaza.Unachotakiwa ww kufanya ni kupinga kwamba mtu mwenye degree hizi Industrial relation,sociology, public administration na Business administration hawezi kufanya kazi za HRM,
By the kozi zenye uwezo wa kukufanya ujiajiri mfano Ufundi wa aina mbalimbali,usanifu majengo,clearing and forwarding, land surveying, auditing and tax hizi ni nzuri sana kwa sababu usipopata ajira ya kuajiriwa unaweza hata ukajiajiri
Kabisa bosi. Muelekeze yule jamaa analinganisha HRM na vitu vya ajabu.Nisamehe kama Nimekukwaza.
Mimi Binafsi nimesoma HRM..
Na hayo unayosema kuanzia BBA.. industrial relations, PA vyote vinaingia ktk HRM.. nikimaanisha Ktk course outline ya HRM vipo included ingawa havisomwi deep ila Ile 50% ya Base nzima inakuw imesomwa
HRM ina Tabia zake tofaut.. na ndio maan Ukiweka HR mbovu ktk kampuni ( HR wa kuunga unga.. wa kuokoteza) inapelekea migogoro ktk kazi.. cha pili mnawez ingia ktk Kesi kubwa ya Mashtak ya kikazi kwa sabab mliokota mtu ambae hata hajui SHERIA za kazi.. hajui maswala ya fidia (Compansation)
Halijui maswala ya Recruitment... Utaajiri vipi wakat hujui mchujo??! Ndio hapo kampun inaingia hasara kutoa tenda kwa recruitment agencies.. wasaidie mchakato au Waingie ktk kashfa ya Rushwa.. kwa sabab HR wao ni kiazi.
Kwa ufupi HRM.. iachwe kama ilivyo.. usifananishe na Utopolo wa BBA na takataka zingine.
Kuuusu AJIRA..
HRM unawez jiajir kwa Kufungua KAMPUNI ya
-Recruiting agency..
-Unawez kuwa consultant wa makampuni..
-unaweza kuwa TRAINER wa program mbalimbali (ukiw vzr unawez kula kichwa serikalini ukwa unawapigisha somo Watumishi wa nyadhifa za juu wa Serikal kazi yako kuzunguka tu na V8)
KIUFUPI Hr pure.. yule pure kbs... Hawez kosa ajira.. labda awe Hr utopolo.. kwanza connection za ajira anazo nyingi labda awe bwege bwege
Siku hizi hadi wanasheria tunafanya uHRNisamehe kama Nimekukwaza.

Hr and other social sciences ni majangaKabisa bosi. Muelekeze yule jamaa analinganisha HRM na vitu vya ajabu.
Wewe utaacha ipi?Watu mnasoma ili kufuata soko la ajira badala ya kusoma kike kilichopo moyoni mwako. Ndio maana aftika tunapoteza muda tu hapa duniani tukifa hatuachi legacy yoyote kwenye jamii
Siku hizi hadi wanasheria tunafanya uHR
Law school vyote hivyo vinafundishwaKumuweka mtu wa Sheria afanye kazi za Hr ni kuingiza Kampuni ktk migogoro hasa.. ya kimaslahi baina ya wafanyakaz na menejimenti..
Yeye mwanasheria alichokisoma ni sheria na sio TYPICAL HRM KNOWLEDGE..
Maswala ya
Payroll
Recruitment
Compansation planning
Performance appraisal
Na activities zote kuanzia Job design mpk job analysis na job evaluation zote mwanasheria zimempitia kushoto.. sansan ataapply Employment and labor relations act.. Law of contract act.. na other regulations na Complete Package ya Hr vyote hivyo (sheria za kazi) vimesomwa.
Mnasoma juu juu tu..Law school vyote hivyo vinafundishwa