Hapo kuna Act 4.. na bdo kuna zingine.. hainipi Taswira kuwa naweza kuwa MWANASHERIA.. ingawa nazijua sheria/nimesoma sheria.. hasa za Kazi.
Hizo Act kwa HR ndio mwongozo wake humo.. na vingine vingi tu.. so usijione umesoma Definition ya what is Recruitment.. ukajiona tyr ni HR.
View attachment 1561139