KERO Course ya Ordinary Diploma in Heavy Duty Equipment Engineering kutokuwepo kwenye mfumo inatukosesha kazi

KERO Course ya Ordinary Diploma in Heavy Duty Equipment Engineering kutokuwepo kwenye mfumo inatukosesha kazi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kuna changamoto katika waombaji wa kazi katika mfumo wa ajira.go.tz kutokubaliwa na mfumo na ikitokea ukiitwa interview wakaguzi hawaturuhusu kufanya usaili.

Tulivyouliza shida ni nini jibu toka utumishi ni kuwa chuo kitume maombi ya kutambulisha course kwenda utumishi na jambo hilo limereportiwa chuoni (arusha technical college) ila halifanyiwi kazi inatupa wakati mgumu kwa sisi waombaji.

Na course ukiisearch kwenye mfumo haipo
1000222793.jpg


Tuomba taasisi (ajira.go.tz na arusha technical college) husika zilifanyie kazi kuondoa usumbufu
 
Kwa kweli ni shida na hawataki au sijui ni maelekezo tu maana kuna mfumo kama taesa ni wa serikali ivyo ivyo kozi imetambulika bila shida ERB wanaitambua ila ikija kwa utumishi shughuli ndo inaanza hapo
Shida ni Mifumo aisomani.
 
Mada kama hizi za kipumbavu ziishe mambo madogo madogo muwe mnayamaliza huko Facebook
 
Back
Top Bottom