A
Kwa kweli ni shida na hawataki au sijui ni maelekezo tu maana kuna mfumo kama taesa ni wa serikali ivyo ivyo kozi imetambulika bila shida ERB wanaitambua ila ikija kwa utumishi shughuli ndo inaanza hapo
Shida ni Mifumo aisomani.Kwa kweli ni shida na hawataki au sijui ni maelekezo tu maana kuna mfumo kama taesa ni wa serikali ivyo ivyo kozi imetambulika bila shida ERB wanaitambua ila ikija kwa utumishi shughuli ndo inaanza hapo
Hii ni mbaya sana sijui malengo yao ni niniShida ni Mifumo aisomani.
Tusaidie kuyamaliza mkuuMada kama hizi za kipumbavu ziishe mambo madogo madogo muwe mnayamaliza huko Facebook