Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Usemayo ni sawa. Ila kumbuka wenye dhamana ni viongozi.
Ww mshahara wako kwa mwezi ni laki 4 lkn hiyo laki 4 ni posho ya mbunge kwa masaa tu kwa siku. Kuna mbunge yoyote au kiongozi aliyewahi kukutetea kuhusu kuongezwa mshahara?
Kawaulize wananchi wa Mtwara kuhusu gesi. Walikula virungu na gesi inachukuliwa km kawaida.
Raisi akisema ndiyo wewe unaweza kupinga?
Kamuulize yule daktari aliyekuwa anaongoza mgomo kipind cha Kikwete. Walimdaka, wakampa kichapo mpaka leo hii hakuna mgomo.
Unaweza kuwa na mawazo mazuri sana ila likifika katika watu wenyewe nguvu na fedha siyo chochote tena

Mzee hapa wapo wataalamu na dawa zipi nyingi tu tunatengeneza. Hatuwezi kuwa shamba la majaribio.