Covid-19: Coronavirus hivi sasa! Ramani, Mataifa, Washukiwa na Vifo

isajorsergio

Platinum Member
Joined
Apr 22, 2018
Posts
4,143
Reaction score
6,560
Hadi hivi sasa Tanzania na Afrika Mashariki hali ni shwari. Kabla ya kupitia thread hii osha mikono kwa kimiminika chenye uwezo wa kupambana na maambukizi, maji safi na sabuni. Hali ni mbaya duniani kote maambukizi yanazidi kuongezeka pamoja na vifo vikiripotiwa.

Tanzania na Sehemu ya maziwa makuu bado ni sehemu safi.


Tanzania


Dodoma


Dar es Salaam


Chato-Geita


Sanzibar


Wetern Lake Border


Upper Highlands


Northern - Tourists Attraction


Ost Afrika / Great Lakes

Kufikia sasa hali ni shwari fanyeni kazi! kabisa, Kikubwa zingatia hatua stahiki na salama kujikinga na janga hili.
-

Hali sehemu nyingine duniani ni mbaya sana, nionavyo hali ikiendelea hivi tunaweza kufikia hatua tukapoteza/potea watu billion 1 maana groeth ni kubwa.


Northern Sahara - Arab Maghreb


English Channel - UK, DE, NL BL & IR


Europe

Ulaya hali inazidi kuwa mbaya na hatua za tahadhari zimekwisha anza kuchukuliwa. Mikusanyiko ya watu inazidi kupigwa marufuku, matamasha na concerts/festivals mbambali zimekuwa pending.


Far East - Sub Continent/India

Uchina, Korea, Japan na kanda yote hiyo hali ni mbaya sana aisee, tuwaombee!


Middle East

Mashariki ya kati ni sehemu ya kutazama kwa makini hivi sasa


US - Caribbean

Marekani hali ni mbaya sana


Worldwide

Kama unavyoona Afrika ni sehemu 10 tu zenye washukiwa au vifo huku Marekani, EU, MENA na China hali ni ya kutisha.


Vifo vilivyothibitishwa! Hadi muda huu
 

Maambukizi mapya na Waliorudi katika hali zao za kawaida


Ukuaji ndani ya Uchina na Dunia kwa ujumla
 
Haji manara anarudi leo kutoka Spain; wanchunguze asijekuwa karudi na korona; ikiwezekana wamweke karantini kwa wiki mbili! Tusifanye mzaha na korona!
 
Haji manara anarudi leo kutoka Spain; wanchunguze asijekuwa karudi na korona; ikiwezekana wamweke karantini kwa wiki mbili! Tusifanye mzaha na korona!
Nasikia alisema anarudi kwa mguu (kutembea) hivyo kama ameanza safari leo bado ana siku nyingi mpaka afike bongo.
 
Haji manara anarudi leo kutoka Spain; wanchunguze asijekuwa karudi na korona; ikiwezekana wamweke karantini kwa wiki mbili! Tusifanye mzaha na korona!
Weka walinzi mipakani asipite, alipotoka hali Ni mbaya kuanzia Cataluña - Barcelona, Malaga, Seville, Valencia, Cancio na Veal.
 
Weka walinzi mipakani asipite, alipotoka hali Ni mbaya kuanzia Cataluña - Barcelona, Malaga, Seville, Valencia, Cancio na Veal.
Yule hapaswi kuachiwa kwanza ni mweupe kama wachina ni rahis kuambukiizwa
 
Mimi ninataka kuuliza tangu cvn 19 itokee kuna taarifa za black skin yaan mtu mweus ameishapata maambukizi au ameishareportiwa kufariki? Maana licha ya kua Afrika wapo walio ugua na misiri leo kafa aliyekua anaumwa ila hakua mwafrika hata kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha kushukuru Mungu hakuna ngozi nyeusi aliyekufa hadi sasa, labda kwa taarifa mpya
 
Kuna mnaija kaipata aliripotiwa jana.... Sema anaishi US
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…