Covid-19: Coronavirus hivi sasa! Ramani, Mataifa, Washukiwa na Vifo

Covid-19: Coronavirus hivi sasa! Ramani, Mataifa, Washukiwa na Vifo

Corona imezifikia nchi/mataifa 117 kutoka 115n za awali

1234 confi3.png
 
Vifo vimeongezeka kutoka 4,090 hadi 4,258 huku waliorudi katika hali za kawaida 64,391 hapo awali walikuwa 64,385.

1234 dth.png


1234 dth1.png
 
Hili ni janga, linaweza kutupukutisha wengi mno.
 
Samahani! Mwenye mawasiliano ya Wizara ya Afya au Kitengo cha dharura waweza nisaidia

1234 Arusha.png
 
Daniele Rugani amekutwa na maambukizi ya Coronavirus.

IMG_20200312_025620.jpg


Alkadharika Inter Milan imesitisha kujihusisha na mashindano yoyote baada ya Juventus kutangaza suala la Daniele

cc. Aaron Arsenal
 
konge unaweza kuona sehemu hapo juu "...other countries use antiviral drugs..."

Ni muda wa kuendeleza ARVs for the sake case? Can work perhaps
 
OFFICIAL: Next week's Champions League ties between Juventus and Lyon and Manchester City and Real Madrid have been postponed because of the coronavirus. (Source: Various)
 
Berlin - Tresor and OHM have closed until April Spain & Ibiza - clubs shut for March Netherlands - Shelter shut for March USA - artists change plans due to Trump's travel ban
 
Boris Johnson says the U.K. is facing its "worst public health crisis for a generation," warning the true number of coronavirus cases is "much higher" than official figures suggest

Source: Bloomberg
 
Back
Top Bottom