Covid-19: Coronavirus hivi sasa! Ramani, Mataifa, Washukiwa na Vifo



Panama na Costa Rica katika ghuba ya Mexico (Central América - Latin) zimetangaza rasmi kuwepo kwa wagonjwa
 


Confirmed: Sri Lanka na Maldives tayari Corona imeshafika ikumbukwe Maldives pwani ya mbali ya bahari ya Hindi
 


Kwa walio ulaya magharibi sehemu zenye Corona mnaweza kusogea Turkey hali ni shwari
 


CONFIRMED! Wagonjwa wanazidi kuongezeka kutoka 116,119 hadi 116,146
 
Epuka mikusanyiko ya watu! Osha mikono yako kwa maji safi, sabuni na viua bacteria
 


CONFIRMED! Maambukizi mapya kila baada ya muda yanaongezeka kwa kasi
 


Vifo ni 4,088 kufikia hivi sasa



Waliorudi katika hali zao ni 64,385 hadi sasa
 
Breaking! South Korea inawafikishia vyakula na mahitaji muhimu nyumbani raia na watu wote walio ndani ya taifa hilo
 
COMFIRMED! Mtanzania mmoja nchini UAE 'Falme za Kiarabu' ameambukizwa corona

 
Hadi hivi sasa wagonjwa ni 74 ndani ya United Arab Emirates katika taifa hili la ghuba ya Oman

 


Confirmed! Idadi inaongezeka hivi sasa ni 116,166
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…