COVID-19 & DEEP STATE: Nini maana ya Uhandisi Jamii unaotokea Duniani!?

Intelligence Ni tamu sana. Binafsi popote pale duniani vyuoni na wafuasi wa diplomasia nawaheshim. So sishangai Federico kujua habari ya Jasusi Hilo..


Làkini kidokezo chako kuhusu sßheikh ponda Ni Hatari ya uchochezi
 
Nadhani leo baada ya Iftar atarudi na sehem ya tano ( LABDAA )
 
Ni simulizi gani ambayo nimewahi kuanzisha humu alafu sijawahi kuimaliza.
Nimeandika si chini ya simulizi 50 humu jukwaani kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita. Ni simulizi moja tu ambayo niliacha kuimaliza (Ujasusi Sebuleni Kwetu) na ni kwa sababu nilizuiwa na vyombo vyetu..
Sorry Orgach Habibu B. Anga, hii utaimalizia humu au kwenye group? Mana unatupandishaga mizuka afu mwishoni unapotea, sasa kabla sijanogewa zaidi na hii story naomba mwongozo wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndani ya miaka mitatu ambayo nimeanzisha group nimepata members zaidi ya 2,500 (total kwa miaka yote).
Hakuna hata mmoja ambaye amewahi hata "kuguswa unywele" kwa sababu ya kuwa na namba yake.
Hao unaowazungumzia wakikutaka watakupata tu kwa namna zao.
Jamaa isije ikawa anatumwa na watu wa Noah nyeusi apate namba zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The Other Half na Season 2 ya Vipepeo Weusi hazikuisha sababu viko kwenye kitabu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…