COVID-19 & DEEP STATE: Nini maana ya Uhandisi Jamii unaotokea Duniani!?

COVID-19 & DEEP STATE: Nini maana ya Uhandisi Jamii unaotokea Duniani!?

Mbona kamalizaga nyingi tu zile za vitabu ndo ajamalizia uku

Wait and see atamalizia tu...
Alikua anamaliza zamani kabla hajaotea mchongo wa whatsapp group ukifuatilia stori nyingi za miaka ya karibuni hamalizi anamalizia kule

Simlaumu maana huwezi kumlazimisha ila nawashangaa ambao hawajamshtukia ana maanisha nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habib anawaweza sana watu wa humu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyu mtu ana group mnategemea atamaliza stori humu

Mimi nilishamjua mauzo yakishuka kwenye group anakuja kuchota member humu

Hawezi kumaliza stori ever

Sent using Jamii Forums mobile app

Hii dunia ukiwa na kitu fulani spesho hakuna kutoa bure la sivyo utazeeka maskini utachekwa The Bold ashajua weakness ya waswahili ni wavivu wa kuchimba mambo na kusoma hasa vitu viko wa English katumia hii chance kuchukua vijichenji vyenu mimi nasema huyu ni Mwamba Mwache afanye hivi hivi stori inamaliziwa Whatsapp MAKOFI KWA THW BOLD endelea kukusanya pesa hakuna kucheka na kima[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Blackberry
 
Na huu ndio ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom