Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
La msingi angeweka vitabu hapa tutasoma wenyewe siyo kutafsiria watu na kuweka chai au kujifanya yeye ndo kaandika.though najua hawezi weka vitabu maana vitamuumbua. Msiwe mnasahau na sisi wenye uelewa tumo humu.siyo wote ni form four leavers.
Mkuu utakapo mtumia Baba Swalehe usisite kunitag please.