COVID-19 & DEEP STATE: Nini maana ya Uhandisi Jamii unaotokea Duniani!?

COVID-19 & DEEP STATE: Nini maana ya Uhandisi Jamii unaotokea Duniani!?

Hii ni picha ya juzi akiwa anatoka Mahakamani baada ya kufunguliwa mashtaka na FBI
images%20-%202020-06-14T173041.046.jpeg
 
Najikutaga notification inaingia naacha kazi zote ninazokua nafanya nasoma harakaharaka kwa kuhofia story itakua ndefu na utitiri wa comments ila nakua suprised
 
Nimekua msomaji wa makala za The Bold kwa mwaka wa 5 sasa. To be honest hapa kibongo bongo sijaona mwandishi kama The bold(au labda kwa sababu ya usomaji wangu duni wa kazi za watz). Ila brother habib siku hizi naona kama story zako zinakosa udambwiudambwi fulani ivi ulikuoepo enzi zile. Sio kwamba ni mbaya ila kuna ladha fulani inapotea kwa wasomaji wako wa muda watakubaliana na mimi.
You're still one of my fav writers mitaa hii ila check your style mkuu.
Msalimie cheupe

r cctv y bbb n nui
 
daahh umeishia patamu sana

ila leo umeipost fupi chief
 
Nimevutiwa na huu uzi ila naomba kuelekezwa jinsi ya kufanya setting ya notification ili mdau akiweka uzi niweze pata taarifa[emoji1545]
 
ipogolo said: Unajua waliotoa wazi la kupima diesel na mbuzi ni akina nani? Unajua waliomzuia mkulu asi lockdown ni akina nani? Msivae barakoa zao? Kumbuka said:
unaijua ESCROW? UNaijua RICHMOND? Unajua kama kuna twiga walipigishwa magoti wakaingizwa kwenye ndege wakasepa ughaibuni? Hebu tuyaache haya maswala kama yalivyo mkuu!


😁😁😁
 
Mimi ni sijuagi kuvuta subra kwaajili ya vitu adhimu kama hivi.
Nilacha kufuatilia kama week 4 ili kwamba ufike fike mahali ambapo nitaenjoe kusoma.
Niliishia level 2/3 now Nimeipiga yoote nasubiri mwisho lisha Deep state.
Duuu nashkru sana Habib kwakweli ni watu wachache kama wewe wenye nondo za ku share na wengi hapa nchini.
Viva.



Hapa najiuliza ivi kwanini event za WHCD karibia zote,viongozi wakuu wana vaa dress code black suit.
Ni sheria/utaratibu au kuna cha ziada sisi wanywa chai na kipande cha mua hatujui.
Ndo nimeishia kugundua hilo tu.
Msaada wa majibu.
Kwa ugunduzi wa wangu wa awali.
 
Bahati yake kakutana na msamalia mwema ingekuwa mimi angezitafuta mpk akome ningemwambia aendelee kuzitafuta atazipata tu mvumilivu hula mbivu..[emoji23][emoji28]
Nilipoanza kusoma sehemu ya kumi nikaelewa somo
 
Back
Top Bottom