Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,717
- Thread starter
- #921
Hii ni picha ya juzi akiwa anatoka Mahakamani baada ya kufunguliwa mashtaka na FBI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekua msomaji wa makala za The Bold kwa mwaka wa 5 sasa. To be honest hapa kibongo bongo sijaona mwandishi kama The bold(au labda kwa sababu ya usomaji wangu duni wa kazi za watz). Ila brother habib siku hizi naona kama story zako zinakosa udambwiudambwi fulani ivi ulikuoepo enzi zile. Sio kwamba ni mbaya ila kuna ladha fulani inapotea kwa wasomaji wako wa muda watakubaliana na mimi.
You're still one of my fav writers mitaa hii ila check your style mkuu.
Msalimie cheupe
Mkuu Nini hii..??Kesho jalali akupe kheri upate muda utuwekee chakula ya ubongo Habibu A.HangaView attachment 1480865
Sehemu ya nane na ya tisa sioni vipi wenzangu mumeona?Hakuna shida mkuu endelea kushusha nondo tutakua pamoja tena kwenye deep state
ipogolo said: Unajua waliotoa wazi la kupima diesel na mbuzi ni akina nani? Unajua waliomzuia mkulu asi lockdown ni akina nani? Msivae barakoa zao? Kumbuka said:unaijua ESCROW? UNaijua RICHMOND? Unajua kama kuna twiga walipigishwa magoti wakaingizwa kwenye ndege wakasepa ughaibuni? Hebu tuyaache haya maswala kama yalivyo mkuu!
😁😁😁
Wadau walizikataa, ikabidi azipotezeeSehemu ya nane na ya tisa sioni vipi wenzangu mumeona?
Bahati yake kakutana na msamalia mwema ingekuwa mimi angezitafuta mpk akome ningemwambia aendelee kuzitafuta atazipata tu mvumilivu hula mbivu..😂😅Wadau walizikataa, ikabidi azipotezee
Nilipoanza kusoma sehemu ya kumi nikaelewa somoBahati yake kakutana na msamalia mwema ingekuwa mimi angezitafuta mpk akome ningemwambia aendelee kuzitafuta atazipata tu mvumilivu hula mbivu..[emoji23][emoji28]
Kuwa mpole j2 bado haijaishaJumapili ndo leo@Habibu B. Anga
Kuwa mpole j2 bado haijaisha