Covid-19: Huu mgomo wa Umma kwa Rais wao utaliponya Taifa

Covid-19: Huu mgomo wa Umma kwa Rais wao utaliponya Taifa

Binafsi nimejifunza kuamini na kukubaliana na kila kitu anachokisema rais wangu, he is super intelligent na anafikiria seven billions than regula human being..

Super intelligent -----he is 7 billion more brilliant than a normal human being!! what an admire!

If many Tanzanians have that stupid sense of yours then Tz is a failed country.
 
Hamna kitu JPM yupo sahihi 💯.... Ukitangaza lockdown hapa hao hao watz wanaanza kujadili matatizo wanayoyapata kutokana na namna serikali inavyokabiliana ....ma-mae kilichobak ni kuwaacha kila mmoja ajiponye nafsi yake , wakifa fresh, watakaobaki wataendeleza nchi ..... Hatuwez kufa wote ... Membe amekimbilia kujificha kijijini anayethamin maisha yake asitishe kila kitu asepe Pori huko, Kwan serikali imekuzuia au mpak itangaze?? Kama unauwezo nenda nje kapigwe chanjo Rudi ... jipige rockdown kimya kimya ....Japan ww2 ilipoteza takribani watu milion 4 sababu ya maamuz ya viongo
Kama umerogwa vile. Nani anataka lockdown, yaani kweli mmeshikiwa akili!

Kwani Rais wako anashindwa Nini kusema Kuna Corona! Kumbuka nchi hii Ina watu wanasubiri Kila kitu waambiwe na Serikali!
Hivi Dunis nzima wanavaa barakoa, sisi ndio wajanja.

Mungu hadhihakiwi. Tutaona!
zi na bado washkaj wanaendelea ....mpo
 
Endeleeni hivyo hivyo maana Corona ipo. Tupambane nayo kama Jakaya Kikwete alivyoamua kuvunja ukimya na kuvaa barakoa hadharani. Akili ya kupewa changanya na zako.
Pale JK alicho kifanya nilikumbuka hadithi ya jini kwenye chupa aliye mwomba mvuvi amfungulie na alipotoka kwenye chupa alimrudi hata yule alie mfungulia ila Jk kajitahidi kuvaa barakoa peke yake upande aliokaa na viongozi hii ni zaidi ya hatare!
 
Hamna kitu JPM yupo sahihi 💯.... Ukitangaza lockdown hapa hao hao watz wanaanza kujadili matatizo wanayoyapata kutokana na namna serikali inavyokabiliana ....ma-mae kilichobak ni kuwaacha kila mmoja ajiponye nafsi yake , wakifa fresh, watakaobaki wataendeleza nchi ..... Hatuwez kufa wote ... Membe amekimbilia kujificha kijijini anayethamin maisha yake asitishe kila kitu asepe Pori huko, Kwan serikali imekuzuia au mpak itangaze?? Kama unauwezo nenda nje kapigwe chanjo Rudi ... jipige rockdown kimya kimya ....Japan ww2 ilipoteza takribani watu milion 4 sababu ya maamuz ya viongozi na bado washkaj wanaendelea ....
Mnafiki mkubwa wewe pangu pakavu tia mchuzi MEMBE ameingiaje hapo.
 
Imezoeleka kuwa utawala wa Rais Magufuli umetia umma woga. Kwamba anachokisema Raia Magufuli ndio fainal hakuna wa kupinga au kutenda kinyume....
Si kweli kuwa kasema watu wasivae barakoa. Mbona mara nyingi amesema tuendelee kuchukua tahadhari huku tukimtanguliza Mungu. Ila watanzania tunashida sana ya uelewa. Mheshimiwa MagufuliJP anatumia nguvu kubwa kwa watu wasio na akili ya kujua mambo. Hakuna mahali amekataa tusivae barakoa. By the way barakoa pekee yake haziwezi kukukinga na corona. Ukienda kwenye taasisi zote za serikali na binafsi kuna njia moja au nyingine za kujikinga

Lakini lazima tujue si watu wote wanatakiwa kuvaa barakoa. Hata askofu Ruwaich namlaumu kwa kulazimisha watu wavae barakoa. Barakoa kuna watu hawastahili kuvaa mfano wenye magonjwa ya moyo, mfumo wa upumuaji kama asthma, sickle cell, watoto chini ya miaka nane. Na zivaliwe tu unapokuwa kwenye mkusanyiko mkubwa wa watu. Siyo kila mahali na kila wakati.
 
Kuna mtu amezungumzia lockdown au kichwa chako kinafikiri slowly kama lilivyo jina lako
Hamna kitu JPM yupo sahihi [emoji817].... Ukitangaza lockdown hapa hao hao watz wanaanza kujadili matatizo wanayoyapata kutokana na namna serikali inavyokabiliana ....ma-mae kilichobak ni kuwaacha kila mmoja ajiponye nafsi yake , wakifa fresh, watakaobaki wataendeleza nchi ..... Hatuwez kufa wote ... Membe amekimbilia kujificha kijijini anayethamin maisha yake asitishe kila kitu asepe Pori huko, Kwan serikali imekuzuia au mpak itangaze?? Kama unauwezo nenda nje kapigwe chanjo Rudi ... jipige rockdown kimya kimya ....Japan ww2 ilipoteza takribani watu milion 4 sababu ya maamuz ya viongozi na bado washkaj wanaendelea ....
 
Ukitangaza lockdown hapa hao hao watz wanaanza kujadili matatizo wanayoyapata kutokana na namna serikali inavyokabiliana ..
Hivi kupambana na Corona ni kufanya lockdown tu? Acheni upotoshaji, nani amesema tufungiwe?
 
Si kweli kuwa kasema watu wasivae barakoa. Mbona mara nyingi amesema tuendelee kuchukua tahadhari huku tukimtanguliza Mungu. Ila watanzania tunashida sana ya uelewa...
Acha kujipendekeza wewe ,magufuli hatak watu wavae barakoa yeye anaamini barakoa hazisaidii kitu Zaid anaamin kwenye nyungu na maombi feki ya kimungu,clip zipo ukitaka tukuonyeshe ambvyo anapinga watu wasivae barakoa
 
Imezoeleka kuwa utawala wa Rais Magufuli umetia umma woga. Kwamba anachokisema Raia Magufuli ndio fainal hakuna wa kupinga au kutenda kinyume.

Msimamo wa Rais Magufuli ni kwamba hakuna Corona maana tutatishwa sana. Kilichopo ni changamoto ya kupumua ambayo dawa yake ni kujifukizia, kufanya kazi kwa bidii "na ndio maana hatuvai barakoa". Alisema mbele ya dunia huko Chato.

Hata hivyo umma mpana umemgomea Rais Magufuli na badala yake unawasikia viongozi wa dini na Shirika la Afya Duniani, WHO. Magufuli amegomewa, hasikilizwi maana watu wameamua kuvaa barakoa, wananawa mikono kila mara kwa maji tiririka na sabuni, ulaji wa matunda ya asili kwa sana, vitunguu swaumu, limao, ukaaji kwa nafasi nk. Hakuna cha nyungu wala vyungu. Huu ni mgomo wenye kheri!

Endeleeni hivyo hivyo maana Corona ipo. Tupambane nayo kama Jakaya Kikwete alivyoamua kuvunja ukimya na kuvaa barakoa hadharani. Akili ya kupewa changanya na zako.

Maisha yako hayako mikononi mwa mtu yeyote ni wewe. Vaa barakoa kujiokoa na kuokoa wengine. Ugonjwa upo!!!!
Tunaongozwa na kichaa tuwe makini.
 
magufuli hajakataza kuvaa barakoa.
Ukijisikia kuvaa barakoa VAA.
ILA kumbuka ulaya na marekani na Asia kwenye viwanda vya barakoa za viwango.
Bado CORONA INAWACHAPA VIBAYA SANA.
chaguo ni lako.
Kama unaamini hicho kitambaa kitakuokoa na Corona hyo ni hiari yako
 
Imezoeleka kuwa utawala wa Rais Magufuli umetia umma woga. Kwamba anachokisema Raia Magufuli ndio fainal hakuna wa kupinga au kutenda kinyume.

Msimamo wa Rais Magufuli ni kwamba hakuna Corona maana tutatishwa sana. Kilichopo ni changamoto ya kupumua ambayo dawa yake ni kujifukizia, kufanya kazi kwa bidii "na ndio maana hatuvai barakoa". Alisema mbele ya dunia huko Chato.

Hata hivyo umma mpana umemgomea Rais Magufuli na badala yake unawasikia viongozi wa dini na Shirika la Afya Duniani, WHO. Magufuli amegomewa, hasikilizwi maana watu wameamua kuvaa barakoa, wananawa mikono kila mara kwa maji tiririka na sabuni, ulaji wa matunda ya asili kwa sana, vitunguu swaumu, limao, ukaaji kwa nafasi nk. Hakuna cha nyungu wala vyungu. Huu ni mgomo wenye kheri!

Endeleeni hivyo hivyo maana Corona ipo. Tupambane nayo kama Jakaya Kikwete alivyoamua kuvunja ukimya na kuvaa barakoa hadharani. Akili ya kupewa changanya na zako.

Maisha yako hayako mikononi mwa mtu yeyote ni wewe. Vaa barakoa kujiokoa na kuokoa wengine. Ugonjwa upo!!!!
Sijaona mgomo wa umma bado. Naona wengi hawavai barakoa kwenye mikusanyiko na ndani ya vyombo vya usafiri. Wanaendelea kuamini kauli ya rais.
 
Unazungumzia umma wa Nchi gani?
 
Na ile timu yetu iliyo zuiliwa angola na baadhi ya ndugu zetu wakakutwa na corona imeishia wapi mwenye taarifa zaidi ailete
 
Back
Top Bottom