Hamna kitu JPM yupo sahihi 💯Ukitangaza lockdown hapa hao hao watz wanaanza kujadili matatizo wanayoyapata kutokana na namna serikali inavyokabiliana, kilichobak ni kuwaacha kila mmoja ajiponye nafsi yake , wakifa fresh, watakaobaki wataendeleza nchi.
Hatuwezi kufa wote. Membe amekimbilia kujificha kijijini anayethamin maisha yake asitishe kila kitu asepe Pori huko, Kwan serikali imekuzuia au mpak itangaze?
Kama unauwezo nenda nje kapigwe chanjo Rudi, jipige rockdown kimya kimya. Japan ww2 ilipoteza takribani watu milion 4 sababu ya maamuzi ya viongozi na bado washkaj wanaendelea.