Si angesema tu Corona ipo, mbona haya maneno kuyatamka ni rahis?Hivi Rais hata jana kahimiza watu kuchukua tahadhari. Maana ya tahadhari unajua wewe. Au ni chuki binafsi zinakusumbua. Binafsi nimejifunza kuamini na kukubaliana na kila kitu anachokisema rais wangu, he is super intelligent na anafikiria seven billions than regular human being.s. corona ya kwanza kama nilikuwa simwamini hivi ila baadae nikagundua I was wrong
Haya mambo ya kusema homa ya mapafu sijui ndio nini! Angefanya jambo la maana kama angesema 'Watanzania wenzangu Corona ipo, hivyo tuchujue tahadhari'.
Kama aliweza kusema korona tumeishinda kwa maombi ya Siku 3 na ndio maana hata hapa hakuna mtu amevaa Barakoa, unajua ile kauli inaishi mpaka leo? Sasa watu wachukue tahadhari za nini wakati Corona hamna na ni maisha tu kama kawaida. Hapo mwanzo kabla ya Corona kiongozi gani alisimama na kusema wananchi tuchukua Tahadhari? Kama hamna, kwa nini sasa hiv watu wachukue Tahadhari? Aseme CORONA IPO.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app