Binafsi nimejifunza kuamini na kukubaliana na kila kitu anachokisema rais wangu, he is super intelligent na anafikiria seven billions than regula human being..
Kama umerogwa vile. Nani anataka lockdown, yaani kweli mmeshikiwa akili!Hamna kitu JPM yupo sahihi 💯.... Ukitangaza lockdown hapa hao hao watz wanaanza kujadili matatizo wanayoyapata kutokana na namna serikali inavyokabiliana ....ma-mae kilichobak ni kuwaacha kila mmoja ajiponye nafsi yake , wakifa fresh, watakaobaki wataendeleza nchi ..... Hatuwez kufa wote ... Membe amekimbilia kujificha kijijini anayethamin maisha yake asitishe kila kitu asepe Pori huko, Kwan serikali imekuzuia au mpak itangaze?? Kama unauwezo nenda nje kapigwe chanjo Rudi ... jipige rockdown kimya kimya ....Japan ww2 ilipoteza takribani watu milion 4 sababu ya maamuz ya viongo
zi na bado washkaj wanaendelea ....mpo
Pale JK alicho kifanya nilikumbuka hadithi ya jini kwenye chupa aliye mwomba mvuvi amfungulie na alipotoka kwenye chupa alimrudi hata yule alie mfungulia ila Jk kajitahidi kuvaa barakoa peke yake upande aliokaa na viongozi hii ni zaidi ya hatare!Endeleeni hivyo hivyo maana Corona ipo. Tupambane nayo kama Jakaya Kikwete alivyoamua kuvunja ukimya na kuvaa barakoa hadharani. Akili ya kupewa changanya na zako.
Mnafiki mkubwa wewe pangu pakavu tia mchuzi MEMBE ameingiaje hapo.Hamna kitu JPM yupo sahihi 💯.... Ukitangaza lockdown hapa hao hao watz wanaanza kujadili matatizo wanayoyapata kutokana na namna serikali inavyokabiliana ....ma-mae kilichobak ni kuwaacha kila mmoja ajiponye nafsi yake , wakifa fresh, watakaobaki wataendeleza nchi ..... Hatuwez kufa wote ... Membe amekimbilia kujificha kijijini anayethamin maisha yake asitishe kila kitu asepe Pori huko, Kwan serikali imekuzuia au mpak itangaze?? Kama unauwezo nenda nje kapigwe chanjo Rudi ... jipige rockdown kimya kimya ....Japan ww2 ilipoteza takribani watu milion 4 sababu ya maamuz ya viongozi na bado washkaj wanaendelea ....
Si kweli kuwa kasema watu wasivae barakoa. Mbona mara nyingi amesema tuendelee kuchukua tahadhari huku tukimtanguliza Mungu. Ila watanzania tunashida sana ya uelewa. Mheshimiwa MagufuliJP anatumia nguvu kubwa kwa watu wasio na akili ya kujua mambo. Hakuna mahali amekataa tusivae barakoa. By the way barakoa pekee yake haziwezi kukukinga na corona. Ukienda kwenye taasisi zote za serikali na binafsi kuna njia moja au nyingine za kujikingaImezoeleka kuwa utawala wa Rais Magufuli umetia umma woga. Kwamba anachokisema Raia Magufuli ndio fainal hakuna wa kupinga au kutenda kinyume....
Hamna kitu JPM yupo sahihi [emoji817].... Ukitangaza lockdown hapa hao hao watz wanaanza kujadili matatizo wanayoyapata kutokana na namna serikali inavyokabiliana ....ma-mae kilichobak ni kuwaacha kila mmoja ajiponye nafsi yake , wakifa fresh, watakaobaki wataendeleza nchi ..... Hatuwez kufa wote ... Membe amekimbilia kujificha kijijini anayethamin maisha yake asitishe kila kitu asepe Pori huko, Kwan serikali imekuzuia au mpak itangaze?? Kama unauwezo nenda nje kapigwe chanjo Rudi ... jipige rockdown kimya kimya ....Japan ww2 ilipoteza takribani watu milion 4 sababu ya maamuz ya viongozi na bado washkaj wanaendelea ....
Hivi kupambana na Corona ni kufanya lockdown tu? Acheni upotoshaji, nani amesema tufungiwe?Ukitangaza lockdown hapa hao hao watz wanaanza kujadili matatizo wanayoyapata kutokana na namna serikali inavyokabiliana ..
Hakuna aliyegoma acha uchochezi bwashee!
Acha kujipendekeza wewe ,magufuli hatak watu wavae barakoa yeye anaamini barakoa hazisaidii kitu Zaid anaamin kwenye nyungu na maombi feki ya kimungu,clip zipo ukitaka tukuonyeshe ambvyo anapinga watu wasivae barakoaSi kweli kuwa kasema watu wasivae barakoa. Mbona mara nyingi amesema tuendelee kuchukua tahadhari huku tukimtanguliza Mungu. Ila watanzania tunashida sana ya uelewa...
Mpaka umeona aibu ukiwa peke yangu!Hakuna aliyegoma acha uchochezi bwashee!
Wewe hapo ulipo umevaa barakoa?!Mpaka umeona aibu ukiwa peke yangu!
Umejikaza kweli, kamsitari tu mbio
Huwezi ficha umajunun wako?Wewe hapo ulipo umevaa barakoa?!
Tunaongozwa na kichaa tuwe makini.Imezoeleka kuwa utawala wa Rais Magufuli umetia umma woga. Kwamba anachokisema Raia Magufuli ndio fainal hakuna wa kupinga au kutenda kinyume.
Msimamo wa Rais Magufuli ni kwamba hakuna Corona maana tutatishwa sana. Kilichopo ni changamoto ya kupumua ambayo dawa yake ni kujifukizia, kufanya kazi kwa bidii "na ndio maana hatuvai barakoa". Alisema mbele ya dunia huko Chato.
Hata hivyo umma mpana umemgomea Rais Magufuli na badala yake unawasikia viongozi wa dini na Shirika la Afya Duniani, WHO. Magufuli amegomewa, hasikilizwi maana watu wameamua kuvaa barakoa, wananawa mikono kila mara kwa maji tiririka na sabuni, ulaji wa matunda ya asili kwa sana, vitunguu swaumu, limao, ukaaji kwa nafasi nk. Hakuna cha nyungu wala vyungu. Huu ni mgomo wenye kheri!
Endeleeni hivyo hivyo maana Corona ipo. Tupambane nayo kama Jakaya Kikwete alivyoamua kuvunja ukimya na kuvaa barakoa hadharani. Akili ya kupewa changanya na zako.
Maisha yako hayako mikononi mwa mtu yeyote ni wewe. Vaa barakoa kujiokoa na kuokoa wengine. Ugonjwa upo!!!!
Sijaona mgomo wa umma bado. Naona wengi hawavai barakoa kwenye mikusanyiko na ndani ya vyombo vya usafiri. Wanaendelea kuamini kauli ya rais.Imezoeleka kuwa utawala wa Rais Magufuli umetia umma woga. Kwamba anachokisema Raia Magufuli ndio fainal hakuna wa kupinga au kutenda kinyume.
Msimamo wa Rais Magufuli ni kwamba hakuna Corona maana tutatishwa sana. Kilichopo ni changamoto ya kupumua ambayo dawa yake ni kujifukizia, kufanya kazi kwa bidii "na ndio maana hatuvai barakoa". Alisema mbele ya dunia huko Chato.
Hata hivyo umma mpana umemgomea Rais Magufuli na badala yake unawasikia viongozi wa dini na Shirika la Afya Duniani, WHO. Magufuli amegomewa, hasikilizwi maana watu wameamua kuvaa barakoa, wananawa mikono kila mara kwa maji tiririka na sabuni, ulaji wa matunda ya asili kwa sana, vitunguu swaumu, limao, ukaaji kwa nafasi nk. Hakuna cha nyungu wala vyungu. Huu ni mgomo wenye kheri!
Endeleeni hivyo hivyo maana Corona ipo. Tupambane nayo kama Jakaya Kikwete alivyoamua kuvunja ukimya na kuvaa barakoa hadharani. Akili ya kupewa changanya na zako.
Maisha yako hayako mikononi mwa mtu yeyote ni wewe. Vaa barakoa kujiokoa na kuokoa wengine. Ugonjwa upo!!!!
Narudia tena! Hii changamoto mpaka ikibisha hodi viunga flani ndio itapewa heshima!